Recent content by KUHANIMKUU

  1. KUHANIMKUU

    JamiiForums Tanzania Dkt. Nchimbi: Hakuna sheria inayotengua Katiba. Watanzania pambaneni kupata Katiba mpya

    Tunamdai nani katiba mpy? Tuidai kwa nani katiba mpya? Huyu mwamba naona amemung'unya maneno....
  2. KUHANIMKUU

    JamiiForums Tanzania Tabia za Kuwatahiri watoto wadogo na kuwatoboa masikio na pua mabinti wadogo zinapaswa kulaaniwa na kukomeshwa

    Vipi kuhusu wanaowapeleka porini/jando na kuwatahiri bila ganzi...wewe kama mzazi unalionaje hili? Naomba useme neno pia hapo kwenye kuwatoboa masikio mabinti wadogo, ikiwezekana tupatie na uzoefu wako ili tuokoe kizazi.
  3. KUHANIMKUU

    JamiiForums Tanzania Kunena kwa lugha kwa kuiga kulivyoshusha hadhi ya ulokole

    1. Una uhakika gani kama hawashikiwi na roho mtakatifu au ni wivu tu? 2. Kwani kuna formula ya kunena kwa lugha? 3. Kwani kwa kufanya hivyo wanatenda dhambi? OMBA TOBA ILI MUNGU AKUSAMEHE!
  4. KUHANIMKUU

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Katiba mpya hadi watu wasome waelewe maana ya katiba hata hii tuliyonayo

    Acha watu wakapige hela watakaopata nafasi ya kuzunguka kutoa elimu kwa wananchi
  5. KUHANIMKUU

    JamiiForums Tanzania Naomba Ushauri: Nimepata Kesi baada ya kumpiga mvuta sigara

    Ulipaswa kumpeleka mahakamani na kumdai fidia kwa kuhatarisha afya yako. Umeharibu kumpiga...atakupeleka mahakama na atakudai fidia kwa kumdhuru...kesi ya jinai hiyo!
  6. KUHANIMKUU

    JamiiForums Tanzania Yamenikuta China naiona jela inaniita, nisaidieni mwenzenu ninusurike

    NAWASHUKURU SANA WOTE MLIOJITOKEZA NIKUSHAURI NA KUNITIA MOYO. NINAWASHUKURU PIA MLIONITUKANA, MLIONIDHIHAKI NA KUNIBEZA. SOON NITAWALETEA MREJESHO WA MAPITO YANGU.
  7. KUHANIMKUU

    JamiiForums Tanzania Kungekuwa na sheria ya "kila mwanamke aolewe na mwanaume aliyemkata utepe"

    Kuna wadada wengi warembo/celebrities wangeolewa na wanaume wa ajabu sana!!
  8. KUHANIMKUU

    JamiiForums Tanzania Wazazi wanajua nipo Chuo Dar wakati mimi nipo Arusha; Wamenitembelea kimya kimya

    Kwa hiyo unachukua boom Dar, unaenda kispend A~town? Kuna watoto wa Maskini wamekosa boom wameacha chuo. We fala umepata boom umeamua kulitumia kucheza kamali.....Kweli???
  9. KUHANIMKUU

    JamiiForums Tanzania Nina milioni 100 naweza jenga motel yenye room 20, swimming pool , na vifaa vyake vyote?

    Mil 100 hata nyumba ya Kuishi tu ya kawaida haitoboi...Wewe unaongelea kujenga hotel kweli!?
  10. KUHANIMKUU

    JamiiForums Tanzania Waliogundua hesabu ngumu walikuwa wanatafuta nini na walizigunduaje?

    Nyie ndio mnaowapotosha hata watoto wanapokea mtazamo hasi kwenye hesabu. Hesabu ni rahisi saaana! Kila kitu kwenye maisha ni hesabu...kula ni hesabu, kuongea ni hesabu, kutembea ni hesabu, kuimba ni hesabu, kucheza ni hesabu...kumtongoza demu kunahitaji hesabu pia.
  11. KUHANIMKUU

    JamiiForums Tanzania Kusoma Masters na PhD UDSM ni kutafuta ugonjwa wa moyo

    Una elimu gani mkuu!? Au wewe ndiyo wale wenzake na Mh. Msukuma (LY)...STD 7[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
  12. KUHANIMKUU

    JamiiForums Tanzania Kunguru kunidonyoa kichwani

    Angalia mwenendo wa maisha/tabia yako mkuu! Penda kutenda matendo mema epuka matendo mabaya! Na kama kuna mahali ulidhurumu au kuiba nenda ukarudishe...au nenda kanisani ukatubu na kumrudia Mungu. USICHUKULIE POA!
  13. KUHANIMKUU

    JamiiForums Tanzania Je, huu ni mwendelezo wa Serikali kutudharau Walimu Shule za Msingi?

    Ishukuru serikali imekupunguzia mzigo...Sasa ungeenda kusimamia hiyo mitihani hizo karatasi Stadi za Kazi nani angekisahihishia?
  14. KUHANIMKUU

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya michango ya harusi

    Mi hua sichangii kindezindezi mkuu, labda uwe mtu wangu wa karibu saaana ndiyo ninaweza kukuchangia. Maisha tight sana...huku KODI ya serikali, ukigeuka huku unakutana na TOZO, hujafika mbali KODI ya nyumba hiyo hapo inakisubiri...ukiangalia mbele kidogo unaona ADA ya shule ya watoto...
Back
Top Bottom