The Banana Republic!!😆😆😆😆
Kuna thesis ya mtahiniwa mmoja kichwa cha habari kimeandikwa hivi; "The Tanzania Civil Servants Appeal Authorities Surprisingly" kwa maana ya kwamba utendaji kazi wake ni wa hovyo kabisa, haki za watumishi zinadhurumiwa kwa makusudi kabisa.
Mh. Rais Samia Suluhu...
Kwani maeneo mengine ya Tanzania sio sehemu ya SADC?? why Njombe tu? mbona MSD ina maeneo na makubwa tu ambayo hayakutakiwa kulipiwa chochote badala ya kulipa fidia! hayo ni matumizi mabaya ya fedha za Watanzania.
MSD ina maeneo makubwa sehem u za Mwanza, Manyara, Mbeya n.k. Kama ni issue ya...
Aaaaaaaaaaa!!! Zuhura Yunus kushika nafasi ya u-DG TBC bado, anahitaji kujifunza zaidi ukizingatia nafasi ya u-DG is more managerial kuliko kutangaza. Kama ataenda TBC kwa nafasi ya utangazaji ni sawa, lakini sio ya kuongoza watu, vifaa n.k
Aaaaaaa!!! hii ki-protocol imekaaje?
Isije ikaonekana ni insubordination kwa Dr. Ryoba kumuhoji bosi wake, ni kweli atamhoji maswala kuntu yenye mantiki na tija kwa Taifa kutokana na yanayoendelea currently katika nchi hii?
Au itakuwa ni danganya toto kwetu kwamba Mh. Rais kahojiwa na chombo...
Asante Waziri kwa jitihada zako za kuhakikisha sekta ya afya inawajibika ipasavyo kwa wananchi.
Lakini naona kama unazunguka sana kuhusu kutatua tatizo la uhaba wa dawa mahospitalini.
Wiki iliyopita hapa JF tulitoa maelezo kwa kifupi kuhusu sababu za uhaba wa dawa kwamba ni kwasababu ya...
Pole sana ndugu yangu.
Eti kuna kilaza mmoja ofisi ya Tume tena ni senior official kabisa anajitetea kwamba eti Tume inavunja Sheria na Kanuni za Utumishi wa Umma kwa kuchelewa kutoa maamuzi ya rufaa za watumishi wa umma kwasababu eti maofisa wa Tume ni wachache, this is hopeless to the...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.