Sijui una umri gani au unafahamu chochote, kuhusiana na mambo ya kisiasa, ngoja nikujulishe jambo moja dogo sana Maalim seif ni mwanasiasa pekee katika nchi hii ambae ana mtaji wa kudumu wa kiaiasa usio filisika, nao ni watu! Wanaongezeka kila kukicha, na baadhi yao wapo tayari kwa lolote lile...