Atapokewa Leo mjini mwanza na kuelekea moja kwa moja kwenye viwanja Vya mbugani, ambapo ameanza ziara ya mwezi mmoja kanda ya ziwa, ambapo NAIBU katibu mkuu bara Magdalena sakaya naye ameisha anza ziara kanda ziwa, mwaka huu CCM watatafuta pakutokea, Haki sawa kwa wote. Ukawa tumaini letu.