Recent content by Kudakwashe

  1. K

    Sifa za mwanaume amtakae Lady Jay Dee kwa sasa

    Sawa bibi kizee.We got your point.
  2. K

    Hivi nchi nyingine za Afrika kuna barabara ya Nyerere?

    I've been in Harare - Zimbabwe.Kuna barabara inaitwa Julius Nyerere road two ways.
  3. K

    Rais Kikwete; Watanzania tukukumbuke kwa lipi ulilotufanyia?

    Bravooo Ben William Mkapa. Alicheka Mara mbili akamaliza miaka yake kumi ya uongozi.
  4. K

    Pata gari mpya na used kwa bei poa

    Nahitaji Toyota Allex naomba unichek kwenye 0654 646 092.
  5. K

    Mwigulu apokelewa na mabango Morogoro Mjini

    Nimesoma habar yako nilipofika aya ya pili mood ikaisha.Hongera hata hiyo umejitahidi.
  6. K

    Nchemba: Wahisani wamerejesha misaada

    Masikini hata raisi Mhe. Prof Dkt. Jakaya Kikwete hajui ni kwanini nchi yetu ni masikini hata baada ya Kuwa na rasilimali za kutosha.
  7. K

    Huyu ndiye fisadi hatari zaidi

    Nashauri urudie tena andiko lako na sources ulizoweka. Binafsi sion mchango wa moja kwa moja wa hao uliowataja kwa Watanzania dhidi ya Mengi. IPP ndo media pekee ambayo watanzania tunaiamini ndani na hata nje ya nchi. Long live Managing director of IPP media , Dkt Reginald Mengi. Together...
  8. K

    Huyu ndiye fisadi hatari zaidi

    Mtoa mada acha wivu wa kike.
  9. K

    Video: Prof Muhongo adaiwa hela za Escrow

    Kkkkkk wangelitia na vidole vya m.k.u.n.d.u
  10. K

    Watambue kwa picha zao vigogo waliotafuna mabilion ya escrow

    Hapo Prof. Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa pamoja na bilionea la kihaya Bw. James Rugemalira.
  11. K

    Sakata la ESCROW kimenuka USA KUKATA MISAADA YA MIRADI YA MCC

    Nibora iwe hivi kwa maana haiingii akilini kwa nchi kama Tanzania na utajiri tulionao in terms of resourses nk kutegemea wafadhili for more than 40% of our National budget.. This is a shame !!!!
  12. K

    Naibu Katibu Mkuu, Mwigulu Nchemba ahutubia Maelfu nyumbani kwa Dkt. Slaa.

    Narudia tena hapo ni HANANG jimbo la mzigo mwingine Mary Nagu.
  13. K

    Naibu Katibu Mkuu, Mwigulu Nchemba ahutubia Maelfu nyumbani kwa Dkt. Slaa.

    Mtoa mada unatufanganya hapo ni Hanang na si Karatu. Nimefuatilia habari hii ktk vituo vya televisheni vya ITV na STAR TV. Stop pretending like an idiot...
  14. K

    Mama Tibaijuka hebu kuwa serious! Mbona unatufanya wote wajinga?

    Alafu kimekondeana sijui kinangoma.Kikiongea kinatetemeka.
Back
Top Bottom