Recent content by Kuchabutwa

  1. Kuchabutwa

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Serikali mbioni kuchapisha noti mpya, kuna hatari ya kuelekea kwa Mugabe, harufu ya tenda za kifisadi zatawala

    Laiti tlaki Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Kuchabutwa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jana nimechepuka ili kumkomoa mwanaume niliyenaye

    Sio umemkomoa ww ni MALAYA.
  3. Kuchabutwa

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji wamhoji Abdul Nondo kuhusu uraia wake. Wamtaka apeleke cheti cha kuzaliwa chake, wazazi wake,mababu na mabibi

    Mzaha mzaha huu wa serikari, utakuja kuleta matatizo makubwa sana hapa nchini. Kuna mambo hayaendi sawa, serikali ijiangalie.
  4. Kuchabutwa

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kwamba Mkurugenzi wa Uchaguzi, Kailima Ramadhan aliwahi kuwa kiongozi wa UVCCM Singida?

    Ni ngumu sana mtu kujikaanga kwa mafuta yake. Madhambi waliyonayo wapo tayari kufa na kumwaga damu ili kutetea viti vyao.
  5. Kuchabutwa

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wamlima barua Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji F. Mtungi

    Haya majibu ni ya moto. Kila point ukiisoma lzm upikiche macho.
  6. Kuchabutwa

    JamiiForums Tanzania Kama wewe ni "mvivu wa akili" usisome andiko hili (Fanya mambo mengine)

    Kilio, kilio, kilio mpaka watanzania tuamke kudai katiba mpya. Vinginevyo kila chaguzi ni kilio.
  7. Kuchabutwa

    JamiiForums Tanzania Moyo wangu unavuja damu: Tunawaacha peke yao kwenye dhuruma na udhalilishaji; .!! Siku wakikaa kimya Hasara kwetu sana

    Idadi kubwa ya polisi ni either std 7 au form 4. Wachache sana waliosoma. Ili kulinda ajira zao na waendelee kukumbatiwa ni lazima wajipendekeze kwa chama tawala. Na hawa mapolisi ndio chanzo cha tatizo. Hakika inaumiza sana.
  8. Kuchabutwa

    JamiiForums Tanzania Kheri James achaguliwa Mwenyekiti mpya wa UVCCM Taifa, Tabia Mwita awa Makamu

    Hahaha[emoji11][emoji11][emoji38][emoji38]
  9. Kuchabutwa

    JamiiForums Tanzania NEC wapiga marufuku siasa kwenye kampeni za madiwani

    Ni hatari zaidi kansa. Sijui wanataka nn hawa watu.
  10. Kuchabutwa

    JamiiForums Tanzania NEC wapiga marufuku siasa kwenye kampeni za madiwani

    Kwa hali ilivyo, nahisi hata kwenye uchaguzi mkuu siasa zitapigwa marufuku. Haya mambo yanatia hasira sana mkuu.
  11. Kuchabutwa

    JamiiForums Tanzania sentesi fupi tu.

    Kata
  12. Kuchabutwa

    JamiiForums Tanzania Kuteketeza vifaranga kwa moto ni dhambi

    Nyarandu amesema wana .... wana roho mbaya sana. Kumbe ni kweli. Ok mkuu big up kwa kazi nzuri.
  13. Kuchabutwa

    JamiiForums Tanzania Kuteketeza vifaranga kwa moto ni dhambi

    Kama waliweza kusimamia na kuvichoma kwann wasingemsimamia na kuvirudisha badala ya kutumia nguvu na kuviteketeza.
Back
Top Bottom