Daah, wadau mmenipa ngumu nyingi sana za usoni......
Anyway ni kweli FunCargo ina sura nzuri ingawa wengine mnaona mbaya.
Uzuri na ubaya uko machoni pa mtazamaji.
Naomba mnisaidie kiufundi zaidi kuliko kimuonekano.
Sisi wooote waTz tuna Corona, nyie waKenya hamna kabisa hiyo Corona......
Tumefunga mpaka wetu ili tuwalinde nyie huko msipate Corona, Sasa kelele mnapiga za nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Walete Darisalama.... Nae aache upuuzi wake huo. Ye anawaza tumbo lake na familia yake. Magu anawanyoosha kwa faida ya wengi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati wote mtu hautakiwi kuwa mnyonge kwenye nchi yako! Nchi hii huru na tunajitegemea, Wakenya wasijione wao bora ktk angle yoyote ile! Kulinda UHURU na UTU wetu ni gharama, hivyo tusiogope gharama tukauza utu wetu!
Funga mpaka hadi watakapoeleza walifunga mpaka wao kwasababu gani! Ni UJINGA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.