Hadi sasa wageni 182 wamegunduliwa na Corona kupitia mpaka wa Tanzania na Kenya. Visa vyafikia 963

Kinjeketile

JF-Expert Member
Dec 24, 2013
982
1,000
Wakina Shigella wanabwabwaja wakati wenzetu(Kenya) Internatinally wanatupiga Kisayansi tukija kustuka watalii wote mawahamia Kenya,hawa jamaa wanaangalia mbele sana. Wewe hupimi na unaitangazia international Community kwamba maambukizi yameisha na watu waje kutalii,mwenzio anapima sample space(madereva)kutoka kwako na kuitngazia International Community kwamba una kiwango kikubwa cha maambukizi kwasababu haufuati WHO guidiline.
 
Mzeee Suleiman

Senior Member
May 6, 2020
116
225
Tukiwataja mnalia sana, ila nimekumbuka nafikiri inampa aibu mkulu wenu maana yeye kasema corona imeisha Tanzania, na pia nimesoma sehemu RC wa Dar amesema siku ya jumapili mpige makelele Tanzania yote kwa shangwe na vigelegele kwamba mumeishinda corona,ujuha ulokubuhu, sasa tukiibuka na namba eti Watanzania 78 wamegunduliwa kuwa na corona, mara Watanzania 51, hii kwa kweli inapaka doa wakuu wenu.

Ndio nimeelewa sasa kwanini mna hasira hivi, pia ikumbukwe mnakwenda kwenye uchaguzi, hamtaki doa lolote, nahisi baada ya uchaguzi ndio mtaungana na dunia dhidi ya corona, ila kwa sasa muendelee kwa mwendo huo wa kujificha.
Dongo moja tu la chuma kwa raisi wenu mmeogopa na kuacha kututaja mixa kuja kujobembeleza na kaubalozi kenu kama nyinyi jeuri kama sis endeleeni kutaja muone.mkwala kidogo tu wa tanga mmenyweaaaaaa
 
Mzeee Suleiman

Senior Member
May 6, 2020
116
225
Mad
Uoni kama nyie ni watu wa ajabu!
Madereva wanatoka Tz wazima wa afya, wanadunda vizuri. Mpakani mnawapima na kuwaita wana korona. Wanarudi Tz wako fresh na maisha yanaendelea bila wasiwasi.

Nyie mnajifungia ndani na kuhesabu visa vya Korona. Idadi inaongezeka badala ya kupungua! Kibaya zaidi hamjui lini Korona itaisha! Dunia yote waachana na kujifungia! Yaani hata Trump anawazidi akili.

Lock down inaonekana ndiyo strategy mnayoiamini Kama mlivyofanya Mombasa Na sehemu za Naiorobi. Wanasayansi makini wameshaonya lockdown inapunguza immunity, kwa hiyo ikiisha watu watashambuliwa zaidi na corona. Lakini lingine kwa mazingira ya waafrika it's not practicable. Si mjifunze na kuwasikiliza wanaoandamana hapo hapo Kenya!
Madereva wetu mnawarudisha alafu sisi hospitali hakuna wagonjwaaaaaaa aibuuuuu
 
JOHNKEKE

JF-Expert Member
Mar 30, 2011
1,222
2,000
Sasa kama wakiwa Tanzania hawana corona basi wabaki huko huko acheni kulazimishia waingie kwenye nchi za watu, majirani zenu wote wamegoma hakuna kuingia kwao bila kupimwa, kama corona inaonekana tu wakithubutu kuingia kwenye nchi za watu, basi waache kiherehere wabaki kwao.
Mngekua mnabaki kwenu wala hakuna mtu angewasema kitu, tungewaacha mjifie au mpone kama mtoto wa rais wenu ambaye tunaskia anapiga push up ikulu baada ya kupona corona.
Fikeni kwenye mpaka mpkeze malori yapulizwe dawa na kuingizwa ndani na madereva wetu, mtupiane funguo zioshwe kabisa basi, wala hutaskia neno.
Hilo siyo tatizo. Tunatambua Kenya na nchi nyingine zina uhuru wa kufanya hivyo. Ndiyo sababu na sisi tumefunga mipaka. Si umemsikia balozi wenu akiwa DSM ameshaanza kuomba poo? Wote tufunge mipaka tuvute subira, easy tu.
 
Mzeee Suleiman

Senior Member
May 6, 2020
116
225
Tutamsameheee
Dah... yani na kelele zote zile ndio mmetia mpira kwapani mapema hivi kabla hata mechi haijaanza?

Tunamtaka alieanzisha hii choko choko ajitokeze aimalize mwenyewe, sio awashe moto halafu akimbie. Akuje hapa aongee.. asingizie hata alikuwa amelewa ndio maana aliropoka fresh tu,
Tutamsameheeee bureeee
 
MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
22,053
2,000
Hilo siyo tatizo. Tunatambua Kenya na nchi nyingine zina uhuru wa kufanya hivyo. Ndiyo sababu na sisi tumefunga mipaka. Si umemsikia balozi wenu akiwa DSM ameshaanza kuomba poo? Wote tufunge mipaka tuvute subira, easy tu.

Lazima mpimwe, baozi kaja kuwatekenya kwa kuwaita pumba za undugu na mavitu ambayo mnapenda kuydskia kwenye huo mfumo wenu wa kipuzi wa ujamaa, wala hata sijamskliza naona comments za watu na kujua kasema yale yale hamna jipya....lakini liko pale pale lazima mpimwe mkienda kwenye jirani yenu yeyote maana kwenu mumekua kitovu cha corona.
Ningeshangaa kama angethubutu kuturubuni kwa kusema atalegeza msipimwe....
 
Millitarydoctor

Senior Member
Sep 20, 2019
165
250

We nkima skia" uyo balozi wenu anaogopa mziki wa Tz kama unabisha waulize Uganda.
 
gachacha

JF-Expert Member
Jul 12, 2015
2,037
2,000
Saivi nikipata mtaani watu wanasema hamna corona Tanzania, maana mkubwa kasha sema, sasa hao madereva sijui ni wametoka wuhan.

Ngoja tuone
 
bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
13,616
2,000
May 19, 2020
Nairobi, Kenya

Tanzania yaongoza kwa corona
Kenya yaripoti visa vya wenye corona ktk kivuko vya mpaka wa Tanzania na Kenya.

Idadi kubwa ni waTanzania na wizara ya Afya Kenya wasifu kuweza kudhibiti korona kutoka Tanzania isiingie Kenya

Takwimu zinasema vipimo ktk vivuko vya mpakani mwa Tanzania na Kenya ni kuwa sampuli 214 zilionekana kuwa na virus vya korona. Sampuli 182 corona positive ni kutoka Tanzania huku 32 ni za waKenya waliogundulika kuwa na corona. Hivyo waziri wa Afya wa Kenya asema anachoweza kusema ni kutoa ushauri serikali ya Tanzania iongeze kampeni kudhibiti kuenea kwa corona.
 
Mzeee Suleiman

Senior Member
May 6, 2020
116
225
Tz tunajitosheleza Kila nyanja maana sisi ni kama maji wasipo tunywa watatupikia wakishindwa kufanya yote hayo watatunawa kama maji tiririka maana kwao watapima miaka 10 mbele ili kupata mikopo kwa mabepari
uyo mama wa kikeny atakwambia wale waliokufa 50 ni madreva wa malori kutokea mpaka wa Tz na Kenya🤣🤣

Inasikitisha sana 🤣🤣
 
kubwa_Lao

JF-Expert Member
Dec 12, 2015
934
1,000
Tukiwataja mnalia sana, ila nimekumbuka nafikiri inampa aibu mkulu wenu maana yeye kasema corona imeisha Tanzania, na pia nimesoma sehemu RC wa Dar amesema siku ya jumapili mpige makelele Tanzania yote kwa shangwe na vigelegele kwamba mumeishinda corona,ujuha ulokubuhu, sasa tukiibuka na namba eti Watanzania 78 wamegunduliwa kuwa na corona, mara Watanzania 51, hii kwa kweli inapaka doa wakuu wenu.

Ndio nimeelewa sasa kwanini mna hasira hivi, pia ikumbukwe mnakwenda kwenye uchaguzi, hamtaki doa lolote, nahisi baada ya uchaguzi ndio mtaungana na dunia dhidi ya corona, ila kwa sasa muendelee kwa mwendo huo wa kujificha.
Sisi wooote waTz tuna Corona, nyie waKenya hamna kabisa hiyo Corona......

Tumefunga mpaka wetu ili tuwalinde nyie huko msipate Corona, Sasa kelele mnapiga za nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngapulila

JF-Expert Member
Dec 14, 2013
771
1,000
Tukiwataja mnalia sana, ila nimekumbuka nafikiri inampa aibu mkulu wenu maana yeye kasema corona imeisha Tanzania, na pia nimesoma sehemu RC wa Dar amesema siku ya jumapili mpige makelele Tanzania yote kwa shangwe na vigelegele kwamba mumeishinda corona,ujuha ulokubuhu, sasa tukiibuka na namba eti Watanzania 78 wamegunduliwa kuwa na corona, mara Watanzania 51, hii kwa kweli inapaka doa wakuu wenu.

Ndio nimeelewa sasa kwanini mna hasira hivi, pia ikumbukwe mnakwenda kwenye uchaguzi, hamtaki doa lolote, nahisi baada ya uchaguzi ndio mtaungana na dunia dhidi ya corona, ila kwa sasa muendelee kwa mwendo huo wa kujificha.

Unateseka sana na Tanzania

Jumapili tunakiwasha

mrangi

JF-Expert Member
Feb 19, 2014
57,771
2,000
Tukiwataja mnalia sana, ila nimekumbuka nafikiri inampa aibu mkulu wenu maana yeye kasema corona imeisha Tanzania, na pia nimesoma sehemu RC wa Dar amesema siku ya jumapili mpige makelele Tanzania yote kwa shangwe na vigelegele kwamba mumeishinda corona,ujuha ulokubuhu, sasa tukiibuka na namba eti Watanzania 78 wamegunduliwa kuwa na corona, mara Watanzania 51, hii kwa kweli inapaka doa wakuu wenu.

Ndio nimeelewa sasa kwanini mna hasira hivi, pia ikumbukwe mnakwenda kwenye uchaguzi, hamtaki doa lolote, nahisi baada ya uchaguzi ndio mtaungana na dunia dhidi ya corona, ila kwa sasa muendelee kwa mwendo huo wa kujificha.
Mnajiandaa muwe mnafata Chakula Ethiopia

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom