Recent content by Kubwa la Masokwe

  1. K

    JamiiForums Tanzania CCM acheni utapeli kupitia TV, inatia kinyaa

    Kitendo cha kukubari kuachia uenyekiti wa Chama hata kabla ya Muda husika ni democrasia kubwa sana JK sio Mbowe na CCM sio CHADOMO
  2. K

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Magufuli kutoza VAT kwenye "on transit goods" ni aibu na fedheha!

    Watu waachae kupotosha umma mizigo ya transit hailipiwi VAT wala kodi nyingine yoyote na hii ni according to WCO WORLD CUSTOMS ORGANIZATION. VAT inayochajiwa ni kwa huduma zinazotolewa bandarini kwa mizigo ya local na transit ambazo wapokeaji wana zienjoy hapa mfano handling services, wharfage...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Magufuli kutoza VAT kwenye "on transit goods" ni aibu na fedheha!

    Sio on transit ni in transit
  4. K

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya Mteule wa Mbozi, Ally Masoud Maswanya ajiuzulu

    Nadhani issue ya mshahara maana tigo anakula kama 13M gross, udc sidhani hata 4 M kama zinafika, pia ameangalia office location Mbozi is too interior wakati mwanza Kuna fursa nyingi plus ni zonal manager wa mikoa mitano ya kanda ya ziwa
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mwenye contact za Mh. Dkt. Jakaya Kikwete

    Acha kuleta hapa stress zako za kushindwa na kupigika na maisha
  6. K

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Clouds FM na kipindi cha jahazi kituombe radhi waislaam

    Kwani lazima u comment
  7. K

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Clouds FM na kipindi cha jahazi kituombe radhi waislaam

    Napenda kuutaka uongozi wa Clouds FM kutuomba radhi waislaam wote watanzania hususani wasikilizaji wa vipindi vyao kutokana na kauli za dhihaka zilizotolewa na Ephraim Kibonde wakati wa kumaliza kipindi kwa kufananisha Adhanaa na nyimbo za mziki. Maswala ya kiimani sio ya kuletea mzaha kabisa
  8. K

    JamiiForums Tanzania Ibaki Story: Ngoma Mbovu kuliko zote WCB

    Duuuh hizi ni chuki za wazi wazi nyimbo hujaisikia alafu unasema mbaya kweli hungry fire [emoji91]
Back
Top Bottom