Ibaki Story: Ngoma Mbovu kuliko zote WCB

herzygovina mwangosi

JF-Expert Member
Sep 26, 2013
900
431
Hii ngoma ni mbovu kuliko Rich alivyowahi kuimba miaka ya nyuma....Ngoma iko too flat haina rise and fall ya sauti!

Wakastuka kuwa haito kiki faster faster wakatoa video yake on spot! Mbaya zaidi video ilikochukuliwa ni sehemu ile ile alikofanyi harmonise ngoma aliyokuwa na Diamond!

Hapo ndio video inapoboa zaidi ukichanganya na wimbo ambao haujafata Ala za kimziki!
=========

OFFICIAL VIDEO: IBAKI STORY BY RICH MAVOKO (WCB)

 
Sio mbaya sana but sio mzuri sana. Kwa level ya mavoko hii nyimbo ni too low. Na kulikuwa na uharaka gani wa kurelease hiyo single mapema hivyo coz member wenzake kwa hiyo level bado nyimbo zao ziko kwenye chati navyojua lebel inakuwa na kitu cha kuachiana mda wa kushusha vitu sio kila siku.
Sasa kwa huu wimbo itabidi afanye kazi sana kwa second single LA sivyo ndo basi tena kwa mavoko.
 
Ngoma itasumbua sana hii,sasa hivi ni bado mapema tu na haijazieleka masikioni pa watu...hlf ndo zilivo ngoma za mavoko huwa zinaanza kuhit taratiiibu,mwisho inakuwa ya taifa,binafsi wimbo wake wa pacha wangu nlikuja kuuelewa baadae sn na mpk leo naukubali sna...the same kwa wimbo wa bado wa harmo,kwa mara ya kwanza niliona dogo kazingua ila kadri siku zinavosonga nami nazidi kuuona mtamu!so tuupeni muda na huu,mtauelewa tu.
 
Nyimbo nzuri sana, ila hizi timu tushazizoea, upande fulani wakitoa nyimbo watu fasta wanawahi kufungua thread ili kuuponda na upande mwingine hivyo hivyo. Ila si shangai wabongo wengi mioyo yetu tumekubali kuwa vichaka vya kuhifazi chuki badala ya upendo na ndio maana hatufanikiwi na hata tukufanikiwa hatuwezi kuyaendeleza yale mafanikio. We hata kama umewahi hapa kufungua uzi lkn ukweli unabaki pale pale NYIMBO NZURI tena SANA.
 
Hii ngoma ni mbovu kuliko Rich alivyowahi kuimba miaka ya nyuma....Ngoma iko too flat haina rise and fall ya sauti!

Wakastuka kuwa haito kiki faster faster wakatoa video yake on spot!!

Mbaya zaidi video ilikochukuliwa ni sehemu ile ile alikofanyi harmonise ngoma aliyokuwa na diamond!!

Hapo ndio video inapo boa zaidi ukichanganya na wimbo ambao haujafata ala za kimziki!
Uongo huu..angeimba nje ya wasafi mgeisifu..nyimbo nzuri
Tupatie tafwadhali
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom