Ni aibu kwa serikali hii baadhi ya maeneo ya Dar kutokuwa na maji ya uhakika kutoka DAWASCO. Huwa najiuliza shida ni nini?
Yaani vyanzo vya maji tunavyo vingi sana, huwezi kulinganisha na km kule arabuni au hata china ambao wana recycle hata maji ya chooni( yanayotumika kusafishia barabara)
Changsha ni mji mkuu wa jimbo linaloitwa Hunan. Pale kuna vyuo vingi , vikubwa ni Central South University (CSU) na Hunan University. Hv viko recognized na TCU, ila hiko Changsha Medical University nna mashaka km kiko recognized na TCU. Pitia TCU ku confirm. Naweza shauri usiende chuo hiki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.