Recent content by Kuankochoe

  1. K

    JamiiForums Tanzania Hawezi " ku sex " mpaka ashikilie na mkono

    Hapo atumie mkuyati msimika mwinula! au sehemu zingine wanaita betri charger,au ngoja watoto walale atapata mtokeo mazuri!:heh:
  2. K

    JamiiForums Tanzania miaka 5 ya ndoa uume hausimami,atumia ulimi tu kumridhisha mkewe

    Kama ndoa ni ya kiislam hapo hapana ndoa omba talaka yako haina kizuizi! Pole kwa uvumilivu
  3. K

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna uhusiano gani kati ya 'gari' na 'mtoto wa kike?'

    Ni vinasaba vipo kwenye damnu ya wanawake hata ufanyaje huwezi kuwadilisha,itabaki kuwa hivyo tu!
  4. K

    JamiiForums Tanzania Mara Clara The Best Philipine Drama of all time

    Nielekeze CD zake zinapatikana wapi? Pls!
  5. K

    JamiiForums Tanzania Baada ya mahojiano: Makosa yaliyomnyima Lema dhamana ni haya, kwa mujibu wa Mwanasheria wake

    Naye Lema awe mkweli kama kweli alitamka hayo maneno au la hasiwe mwoga kama hao wanafunzi ningependa kuona ushujaa wake!
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kuna kosa lolote kama naamua kufanya mapenzi ktk gari yangu na mpenzi wangu

    Kuku wako kwanini umshikie manati?
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kwa hili mie nimepitwa

    Hivi inawezekanaje mka do na mama yako mzazi kweli? Unaanzaje!,mnabadilishana mate nk. Hapa mi naona utakuwa na akili ya kuvalia nguo tu,huu ni utamaduni wa wapi?
  8. K

    JamiiForums Tanzania Shukrani kwa ukaribisho - Anna Tibaijuka

    Nakupongeza mama Anna kwa kukaa humu,itakuwa rahisi kwa sisi wanyonge kukufikia tuna mengi ya kukwambia,si rahisi kuzipata habari nyingine ukiwa ofisini,tutakufikishia ukituchunia tutajua huna dhamira ya dhati na sisi
  9. K

    JamiiForums Tanzania ZIFAHAMU SEHEMU KUU 8 ZENYE MSISIMKO wakati wa MAUJANJAAAA

    Du! Huo ulimi kila mahali utanywea!kwengine kemikali imezidi
  10. K

    JamiiForums Tanzania Jk juu mpaka chini alinunua mwenyewe.

    Unajua wengi hawajakuelewa,ki ukweli huyo jamaa aliyesimama na JK amenunua mwenyewe ndio mavazi ya kwao kama masai na shuka.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kuzaliwa kwenye familia masikini siyo kosa lako, ila kuoa kwenye familia masikini ni uzembe

    Kumbuka mapenzi hayajari umri cheo umaskini au utajili acha tamaa! Usipende sana kivuli! Jiangalie
  12. K

    JamiiForums Tanzania Hooodiii!

    Nilikuwa nimepitwa sana!nasikia huko ndani ni kuzuri tena kuna furaha saaaana!
  13. K

    JamiiForums Tanzania Maoni yenu tafadhali....

    Inaonekana umeshapata mwingine so unatafuta sababu ya kumtema!acha kumpotezea muda mwenzio
  14. K

    JamiiForums Tanzania Nimerekodiwa video ya ngono bila kujijua. Nifanyeje?

    Hoteli unaijua fuata sheria inasemaje,La sivyo umeshachukua mahela unatuyeyusha tu!jamaa zako wakitambua hupate la kusemea! Acha zinaa
  15. K

    JamiiForums Tanzania Mtazamo: Wanawake wengi wenye taaluma ya "ualimu" wanaoleka zaidi

    Hali ngumu ya maisha ndio imepelekea yooote! hayo. Wanaume siku hizi hawapendi sana Magoli kipa!
Back
Top Bottom