Recent content by KTown

  1. K

    JamiiForums Tanzania TBC1 kushirikiana na TV1, Kuonesha Bure Kombe la Dunia Russia 2018

    Bunge live hakuna wadhamini ila WC wadhamini watakuwa wengi
  2. K

    JamiiForums Tanzania Sam Mahela sasa ndani ya TBC1

    Hadi umejadili humu jua kuna mtu kamuona kupitia TBC1, so ulitaka aende TV unayoangalia wewe? Mfano mimi habari naangalia Azam TWO, lakini kuna wengine wanaangalia ZBC, etc. Muhimu apate mshahara wa kuendesha maisha yake
  3. K

    JamiiForums Tanzania Sam Mahela sasa ndani ya TBC1

    Kwahiyo ITV ndio wanalipa vizuri? [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
  4. K

    JamiiForums Tanzania Sam Mahela sasa ndani ya TBC1

    TBC1 hawalipi mishahara? Au kupotea kupi?
  5. K

    JamiiForums Tanzania Azam Tv kwanini mnaweka zaidi channel za nje ya nchi kuliko za kwetu?

    Kumbe ndio maana mnalalamika kwa vitu msivyovijua. TCRA walitoa ufafanuzi wa kampuni zipi zinatakiwa kuacha free chaneli za ndani moja wapo ikiwa ni Startimes na Zuku hao wana makubaliano maalum. Lakini DSTV na Azam hawalazimiki kuacha local channel yoyote for free.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Azam Tv kwanini mnaweka zaidi channel za nje ya nchi kuliko za kwetu?

    Channels za ndani zipi?
  7. K

    JamiiForums Tanzania Azam Tv kwanini mnaweka zaidi channel za nje ya nchi kuliko za kwetu?

    Sasa kama kila mtu atataka awekewe channel yake tutafika? Hata hivyo hizo TV za ndani unazotaka zaidi ni zipi? Hata DSTV channels za nje ni nyingi kuliko za ndani. Kuna wakati hutakiwi kuwa mtu wa kulalamika hovyo bali kuchukua hatua stahiki. Fanya utafiti wapi panakufaa na hamia huko bila...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Masasi: Wanafunzi wa kike watano kufanya mitihani yao ya kidato cha 6 wakitokea nyumba ya kulala wageni

    Mkuu yawezekana unadanganya au unapotosha au wewe ni miongoni mwa hao wanafunzi watukutu. Uhamisho wa walimu toka Sekondari kwenda Msingi umefanyika mwaka huu na si mwaka jana kama ulivyosema. Mwanafunzi anayejitambua hawezi andamana eti kisa mwalimu kahamishwa, tena wa history, huo ni upuuzig
  9. K

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyofanikiwa kununua pikipiki

    Nani kakwambia kila anayeingiza zaidi ya 2600 kwa siku anakopesheka? Usikariri maisha. Ungemuuliza kwanza anaishi wapi.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Ziara yangu ya siku 6 nchini Korea Kaskazini: Tanzania hakuna udikteta

    Wa mwisho akiwa na maksi ngapi? Maana St. Fransis mwanafunzi wa kwanza alikuwa na Division One na wa mwisho alikuwa na Division Two. Sasa hapo shida iko wapi? Usikariri kuwa kila wa mwisho amefeli
  11. K

  12. K

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya Aprili 26, 2018: Yanayojiri kutoka maeneo mbalimbali ndani na nje ya nchi

    Inaonekana diaspora wapo wachache sana. Yani watatu tu?
  13. K

    JamiiForums Tanzania Kuipa Dodoma hadhi ya Jiji ni lazima kujadiliwe

    Na huyu ukifuatilia utakuta ana degree. Yani mtu anatumia hisia badala ya vigezo na anazidi kutiririka tu. Sometimes muwe mnajiuliza na kutafakari kabla ya kuongea au kuandika. Kwanini usijipe muda kujielimisha? Eti kuwe hoteli, vyuo, Hospitali Na huyu ukitaka matusi muelimishe
  14. K

    JamiiForums Tanzania Niache kula kuku Sea Cliff kisa kupeleka watoto English Medium?

    Amesema lini anatamani? Maana Ronaldo yuko bize na mtoto wake uwanja wa mazoezi. PhD bila hela ni ujinga tu, tena hizi za wabongo ndo zero kabisa
Back
Top Bottom