moto2012
JF-Expert Member
- Jul 3, 2012
- 2,309
- 1,552
Nimesoma na nimeelewa, ila bado kuna maswali mengi kuhusu kipato chake halisi. Naamini in two years alizohangaika kusave hizo coins angeweza kukopa basing on his income, na angeanza kupiga hela au kuensesha hiyo boda kitambo, sasa hivi angekuwa anadikiria kitu kingine. Kumsifu ni kumpa hongera mtu mzembe ambaye hajadisclose all informations.Kasema sometimes alikuwa ana deposit more than 500