Recent content by KRS

  1. K

    JamiiForums Tanzania Barabara ya lami yakwanguliwa yote Dodoma

    lnawezekana kuwa sina maarifa yoyote ya uhandisi wa barabara,au hata ufahamu katika ujenzi wa barabara!! but kukwanguliwa kwa barabara ya lami ambayo iko vizuri inayoanzia traffick light za karibu ya eneo la chako ni chako kuelekea uwanja wa jamhuri !! katika manispaa ya dodoma kumenisikitisha...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    ok soon l will call u
  3. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta nyumba Dodoma!!

    hiyo ya 200,000 ina sifa hizo ndg yangu?
  4. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta nyumba Dodoma!!

    nashukuru!! but budget yangu ni kama nilivyoiandika hapo juu ndg yangu
  5. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta nyumba Dodoma!!

    soma hapo juu!!!
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    thanks in advance!!! hakuna gharama nyingine zaidi ukiacha za agent?
  7. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta nyumba Dodoma!!

    habari wana jf!! natafuta nyumba ndogo nzuri ya kuishi hata kama ni servant quarter iwe ya vyumba viwili,kimoja kiwe self container. iwe na madirisha ya aluminium,dari ya gypsum ,sakafu ya tiles na pia iwe na sehemu ya kuweza kupaki gari.budget yangu ni 250,000/= hadi 300,000= kwa mwezi .iwe...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    habarini wakuu!!! ninaomba ushauri kuhusu suala la kodi za kuingiza gari nchini!! kuna gari ninataka kuinunua ni Nissan Fuga ya mwaka 2005, cc 2490 ,bei yake hadi bandarini dar ni kiasi cha us dollars 2800 ambazo ni sawa na tsh 5,600,000 kwa exchange rate ya sasa,but kuna agent amenidokeza kuwa...
  9. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wapenzi wa kweli

    Sisi ni Kikundi cha Wavulana watatu ambao tumekuwa pamoja na tumesoma pamoja hadi hatua ya kuajiriwa Serikalini mmoja kati yetu ameajiriwa Serikali kuu na wawili tupo katika mashirika ya umma. Tunatafuta Wachumba wasichana watatu wawe na Elimu ya kuanzia ngazi ya Cheti na kuendelea, weupe...
  10. K

    JamiiForums Tanzania wasiiolewa 2014!!!!

    Kama ww ni msichana na unatamani sana kuolewa!!lakini mwaka 2014 umepita kavu kavu!!ujipange 2015 nyavu zikunase!! Kikubwa kuwa mwaminifu!! Acha kuboom hela wanaume siku ya kwanza!! Boresha mwonekano wako!! Jiheshimu!!!wadau ongezeeni nilichomis hapo!!! Wale wote watakaojiupdate mnitafute...
  11. K

    JamiiForums Tanzania ATM za crdb!!

    Oh husninyo!!!Dodoma nilikusubiri sanaaaa!!!
  12. K

    JamiiForums Tanzania ATM za crdb!!

    Jamani hizi zipige hesabu fasta jioni hii.tunaaibika hapa
  13. K

    JamiiForums Tanzania TANESCO, hivi mnajua mnanipa hasara ?

    Mkataba wangu na ninyi ni kunipatia umeme kadri ya mahitaji yangu na mimi kuwalipa matumizi ya umeme huo kwa wakati na linapotokea tatizo la msingi la kutopatikana kwa umeme napaswa nipewe taarifa sahihi kupitia vyombo vya habari, Magazeti, TV na Redio! Sasa mnazima umeme kama mtu anazima taa...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Werema na Masaju wameifanyia nini ofisi yao?

    Acha ukabila wewe!!!!!watu wenye vichwa vya ukabila ndio mnarudisha nchii hii nyuma!!!!!wewe hadi leo familia yako umeifanyia nn cha maana!!!!! acha majungu
  15. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wewe ni msichana mwenye mvuto?

    Update Wamekuja wasichana wawili!!sijui hawakukiona kigezo cha mvuto!!!wako ovyo sana!! Mmoja kapigwa pasi balaa!! Story zao hazieleweki na huwezi kujua wanaishije hapa mjini?nimewapa senti kidogo wameondoka.baada ya kukaa nao lisaa moja hivi.Nafasi bado zipo kwa kesho jioni wana jf Dodoma...
Back
Top Bottom