Recent content by Kpstarimo

 1. Kpstarimo

  Ligi Kuu Tanzania Bara kuanza kutimua vumbi Septemba 6

  Vizuri simba na yanga mapema tu
 2. Kpstarimo

  TANESCO yatangaza nafasi za kazi mbalimbali 574

  Na kwa tusio na vyeti vya form four ila tunavyo vya ufundi
 3. Kpstarimo

  Hizi ndio zilikuwa enzi

  Sawa sawa legend
 4. Kpstarimo

  Hizi ndio zilikuwa enzi

  Mwenye picha ya Mara secondary musoma
 5. Kpstarimo

  Msaada wa kuanzisha Kiwanda cha Mafuta ya Pamba

  Kweli mkuu ubalikiwe sana kwa mtazamo wako [emoji120][emoji120]
 6. Kpstarimo

  Msaada wa kuanzisha Kiwanda cha Mafuta ya Pamba

  Shukulani sana mkuu [emoji120][emoji120][emoji120]
 7. Kpstarimo

  Msaada wa kuanzisha Kiwanda cha Mafuta ya Pamba

  Ki ukweli mkuu Nilikua najua naingia sokoni kama kununua maindi au mpunga. Nipo mwongozo mkuu inakuaje au hatua zipi zinatakiwa mpaka kumiliki leseni ya ununuzi.
 8. Kpstarimo

  Msaada wa kuanzisha Kiwanda cha Mafuta ya Pamba

  Shukulani sana mkuu kwa kunipa mwangaza [emoji120][emoji120]
 9. Kpstarimo

  Msaada wa kuanzisha Kiwanda cha Mafuta ya Pamba

  Ndio mkuu niko kanda ya ziwa na huku inapatikana sana kwa msimu
 10. Kpstarimo

  Msaada wa kuanzisha Kiwanda cha Mafuta ya Pamba

  Mkuu nko kwenye hatua za mwanzo za kutimiza ndoto ndo maana nimeleta wazo langu kwa yoyote mwenyewe uelewa zaidi anaweza nisaidia
 11. Kpstarimo

  Msaada wa kuanzisha Kiwanda cha Mafuta ya Pamba

  Habarini wakuu wa Kazi Habari za Majukukumu. Niko katika kipindi cha kukamiliza ndoto zangu ni mda mrefu sasa nilikua na ndoto ya kuanzisha kiwanda kidogo cha mafuta ya kupikia yapatikanayo katika zao la pamba. Sasa huu ni wakati wa kuanza kufata ndoto zangu za umiliki wa kiwanda Ombi langu...
Top Bottom