Search results

  1. Alex korosso

    Tujuane wadau wa biashara, ulipo na bidhaa zako

    Kwa maitaji wa dagaa nasafilisha kutoka mwanza kuleta dar 0744375646
  2. Alex korosso

    Rais Samia afanya uteuzi wa Makatibu Tawala wa Mikoa

    Yule aliekuwa mmbeba mkoba wa rais wetu hayati naona katupisha Mwanza
  3. Alex korosso

    Ipi nzuri kati ya Kluger na Forester?

    Jamaa angu kachukua klugger aisee n unyama kwanza ina heshima mtaani
  4. Alex korosso

    Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

    Miaka ya nyuma nilitembelea na kuishi visiwani kama Ntama Kome Zilagura Kasalazi Gembare Chamagati Soswa n.k nikutana na watu wanakupa stori zao na matukio yako na wamejichimbia huko Dah uwezi amini Tanzania ni kubwa aisee watu wamepotea miaka na miaka kumbe wapo visiwani tu
  5. Alex korosso

    Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

    Inawezekana ikawa hivyo kwa mazingira ya tukio jamaa alijiandaa mapema
  6. Alex korosso

    Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

    Mama wa marehemu kasema simu ya mwanaume ilosoma maeneo ya tunza.Tunza ni maeneo ya mwambao wa ziwa na mwanaume ni mvuvi na kutoka buswelu mpaka tunza ni karibu kupitia kiseke mimi naamini jamaa yupo kakimbia mjini tu.
  7. Alex korosso

    Masaibu ya members wa JamiiForums

    Umesahau kila mtu humu ni TISS 😂😂😂
  8. Alex korosso

    Uzi wa kutafutana waliopoteana kwa muda mrefu

    Mwembeni Musoma hile shule ya wajinga na mabubu
  9. Alex korosso

    Uzi wa kutafutana waliopoteana kwa muda mrefu

    Nawatafuta Watoto wa Bi mkubwa David na Manyanza Tulipotezana songea Ruvuma 2002
  10. Alex korosso

    Nimeamua kuachana rasmi na siasa, dini na mapenzi

    Karibu kwenye pombe mkuu hakika hutajuta
  11. Alex korosso

    Angalia jinsi manispaa ya musoma ilivyopangika

    Musoma yetu yapendeza Mkendo mwigobero iringo kitaji Miaka ya nyuma kidogo
  12. Alex korosso

    Hizi sabuni za imperial siku hizi tunapigwa

    Ni mda sana zinatengenezwa mwanza maeneo ya kisesa
  13. Alex korosso

    Hizi sabuni za imperial siku hizi tunapigwa

    Nyingi zinatengenezwa mwanza kiwanda cha lakairo
  14. Alex korosso

    Bampa la Vanguard dili! 2.5m TZS

    Kuna ya jirani naona aijali ki hivyo inalala njee tu
Back
Top Bottom