Recent content by Kotmiri

  1. Kotmiri

    Taazia: Ebby "Ebrahim" Sykes, 24 Februari 1952 - 15 Februari 2015

    Mohamed Said pole sana.... mitaa ya gerezani na mimi nimekulia lakini ww umenizid kwa umri watu wengi nawakumbuka nilipokua mtoto kama sheikh darwesh wa msikiti wa mtoro alikua na sauti sijawahi isikia tena maishani.. namkumbuka jambazi mmoja wa Gerezani alikua chongo anaitwa Nguto , mwalimu...
  2. Kotmiri

    Zijue aina nne (4) za michepuko

    Preta ndio ana sifa hizo
  3. Kotmiri

    Zijue aina nne (4) za michepuko

    1.MCHEPUKO LAMI: Huu ni ule ambao hauombi pesa, katulia hana mapepe, uwe naye au usiwe naye maisha yake yanaendelea tu. 2. MCHEPUKO VUMBI: Huu ni ule wa vibomu!! mara ooohhh sina pesa, naomba vocha, sijui simu imekufa, oooh mara nipo saluni nadaiwa elf thelathin, naomba nauli.....n.k! Na hii...
  4. Kotmiri

    Kiboko Yanguuu! Cha Moto Nilikiona Kumpata Na Kujivinjari Na Mkaka Average Jo,Nunda, Mwenye Msimamo

    nikupende kisiri siri kivipi?? sikujui hunijui! hatujawahi kuonana, vipi nimpende mtu anayetumia jina na picha fake!!!!!! au ndio unataka kunirukia ?? mwanahizaya uso na haya na wala usojua vibaya!!
  5. Kotmiri

    Kiboko Yanguuu! Cha Moto Nilikiona Kumpata Na Kujivinjari Na Mkaka Average Jo,Nunda, Mwenye Msimamo

    Nyani Ngabu ni baasha??? wewe umeshindikana...ni papa lililokubuhu kila kitu kinachokutokea mbele unameza.....mi dimples mikubwa imekutokea sababu ya kunyonya mikoni mikubwa
  6. Kotmiri

    Kiboko Yanguuu! Cha Moto Nilikiona Kumpata Na Kujivinjari Na Mkaka Average Jo,Nunda, Mwenye Msimamo

    ushamba unakusumbua....toka uhamie dar kutoka mkoani imekua sheeeeeeeda....... ukimuona mwanamme mwenye feza macho yanakutoka kama konokono. cc Nyani Ngabu
  7. Kotmiri

  8. Kotmiri

    Mitandao ya simu: Kuna nini nyuma ya pazia?

    mwanga lutila •148*88# chagua kifurushi unachotaka kwa sh 800 unapata 1.2 GB ambayo ni nzuri saaaaaaaana kuliko unayolalamikia
  9. Kotmiri

    Wassira style: New style in town

    wanafanya makusudi kujipatia sifa...si washajua asilimia kubwa ya wa tz ni mabwege!! na ni kweli nimeona kwenye mitandao mingii watu wana discuss upumbavu huu
Back
Top Bottom