Recent content by KOSAM

  1. KOSAM

    Nani mjinga zaidi

    Wa tatu kweli mjinga
  2. KOSAM

    Uzalendo unaoimbwa na viongozi wa CCM ndo upi?

    viwand vyote vya umma wamefilis ila cha kushangaza still wanajiita wazalendo!!
  3. KOSAM

    Uzalendo unaoimbwa na viongozi wa CCM ndo upi?

    Huko ndo tunakuita miungu watu wenyewe wanajiona wako sahihi kufanya ivo ila kwa wengine Mwiko! Wengi wao wapo kimaneno zaid ila vitendo hakuna lolote wanaenda mbali kwa kuvaa bendera shingoni kwa kuwahadaa wajinga ila ukweli ni kuwa ndani yao hamnamo cha uzalendo!
  4. KOSAM

    Ushuhuda: Namna CCM inavyofanya ugaidi nchini

    Magambazzzzz ni noumaaaa anaeishabikia gambazzzz hakika ni yule tu asietumia akili zake kwani mafisadi wachache walishajimilikisha nchi wanajifanya et wanapokezana vijiti,,, 15 hachoki mtu walai tunasema ccm basi chadema yatosha... Watake either kwa hiar au kwa mabavu hapa kila mtu lazima...
  5. KOSAM

    Mwamsiku, Wajinga ndio waliwao. (Deni la CHADEMA la P. A Mbeya)

    tunashukuru kwa pongez zako za kinafiki... Ila tu tambua tu nchi hii haiwezi kukombolewa na vijana wapenda hela kama wewe huko uliko ndiko mahali panakokufaa... Umesahau pindi ukiwa cdm tulivyokuwa tunakupenda japo ulikuwa maskini bila hata sent kura, kwa ajili yako watu waliwekwa ndani...
  6. KOSAM

    Je, kweli CHADEMA ni mpango wa Mungu?

    umeandika kama vile upo kwenye utungu wa mimba ya mtoto wa kwanza please kajifungue kisha ndo urudi humu
  7. KOSAM

    CUF yaomba kuongoza kambi rasmi ya upinzani bungeni

    Hichi chama kinachekesha ina maana chadema wakiwepo bungeni wenyewe huwa wanajifanya chama tawala au? Hata hivyo huyu bibi makinda naona kawatolea nje kama vile hajui ndoa iliyopo kati yao
  8. KOSAM

    CHADEMA bado mno Kupambana na CCM

    nakubaliana na ushauri wako kwa wanachadema ila napinga na kauli yako ya bado sana kwa kuwa wananchi walio wengi kutokana na hali mbaya ya maisha wameamua ivi NI HERI UPATE MATESO KWA SASA/ NI BORA VURUGU ZA CDM KULIKO HALI MBAYA INAYOSABABISHWA NA MAFISADI
  9. KOSAM

    Mwenye kupinga 'kauli ya Pinda', huyo ni adui wa nchi.

    mkuu hamy D naona usiku ulikula kwenye banda la kuku kisha umeamkia humu saa 10 kwa kutoroka kuja kutema pumba!!!! Kapitie katiba na vitabu vya mwl vizur na sio hizi pumba zako
  10. KOSAM

    Mwenye kupinga 'kauli ya Pinda', huyo ni adui wa nchi.

    mkuu haym D naona usiku ulikula kwenye banda la kuku kisha umeamkia humu saa 10 kwa kutoroka kuja kutema pumba!!!! Kapitie katiba na vitabu vya mwl vizur na sio hizi pumba zako
  11. KOSAM

    Chagonja; salama ya Mbowe ni rais akikubali kuunda tume!!

    Ajishughulikie kwanza kwa mauaji yaliyotokea Arusha chini yake pili amshughulikie Pinda kwa kuivunja katiba kwa kutema pumba bungeni utadhani kala kwenye banda la kuku kisha anatema pumba la sivyo na yeye pona pona yake rais akatae kuunda tume huru ya kijaji ila akiridhia tu na yy haponi,,
  12. KOSAM

    Mh. Rais amtaka Mh. Mbowe apeleke video ya ushahidi Ikulu!

    Kauli hii mbona imekaa kinafiki zaidi alikuwa amelishwa nn
  13. KOSAM

    Mh. Rais amtaka Mh. Mbowe apeleke video ya ushahidi Ikulu!

    Alete orodha ya wauza madawa ya kulevya kwanza kisha mengine yafuate
  14. KOSAM

    Edward lowasa bungeni

    hana mdomo?
  15. KOSAM

    Mabomu ya Arusha,tunacheza ngoma tusiyoijua,kumbe ni ufadhili wa mataifa ya nje!!!

    nikisema unatumika kinyume na maumbile yako sijui ntakuwa nakukosea maana huna uzalendo hata tone ..damu za watu zimemwagika ww unaleta ushabiki wa kishamba ww ni binadamu wa aina gani?
Back
Top Bottom