Edward lowasa bungeni

Edward lowasa bungeni

Si kosa lako ni kosa la umaskini wako kufanya chek up si kuumwa tatzo mmeshazoea mpaka muwe mahututi ndio mtaenda hosptal lowasa yupo strong na tayar kwa vta ya urais mpooooooooooooo.....lowasa 2015

Mkuu leo,posho lazima iongezwe..Nami nikiamua kugombea huo unyerere lazima nikutafute mkuu!
 
Sasa kwa Tarifa zenu . Lowasa anatufaa sana kuwa rais wa nchi hii hivyo msiangalie sana yalio nyuma songa mbele watanzania kwani mtu akinya huchamba basi naye kishachamba Lowasa oyeeeeeee
 
Anzisha mada ya harambee kanisani au msikitini ukiona amekaa kimya bado anzisha mada sema Sitta ndo Rais 2015..hizo ndo anazotaka huyu mjomba..hayo mengine kwake hayana mpango liwalo na liwe tu..
 
..Nakumbuka alichangia mwaka jana...
(1) Kila mtu anajua na tanzani nzima inajua....
(2) Kila mtu anajua na dunia nzima inajua.....

Huwa akiongea ana sentensi zake, kama ya last week kwenye harambeee ...nimeota ndoto..., ha ha ha!
 
hebu tuacheni unafiki hivi kweli kama kuna watu ambao wanasikiliza hotuba za majumuisho ya bajeti za wizara huwa hawasikii akitajwa?? karibu kila wizarakatajwa kachangia kwa maandish na hushukuruwa sasa mlitaka hadi asimame aseme ndipo mujua kachangia??

Lowassa sio mtu wa kusimama na ktoa povu kama hao wajinga wengine eti kwa kivuli cha kuwatete wananchi kumbe wanawaangamiza, the guy is smart and he knows how to play his cards well.

hana mdomo?
 
ashaapoteana huyo na siasa zake alizozianza za kujeruhi watu kwenye udiwani asa ikifika uraisi itakuaje? alikuwa na kura yangu ila nimestuka hapana tena
 
Kila binadamu mwenye akili timamu na siha nzuri akiamka asubuhi anakuwa na malengo ya vitu atakavyotimiza siku hiyo aliyojaliwa kuwa ahi. Hata mtoto wa darasa la kwanza anajua anakwenda kufanya nini shuleni. Sasa huyu Mhe WM aliyejitoa mhanga - huwa anaamka asubuhi, anaoga, anavaa suti, na kumuaga mkewe kuwa anakwenda kukaa pale ukumbi wa majadiliano wa bunge kama KISANAMU, yaani kama vile tunavyoviona kwenye maduka ya urembo!! na ikifika mwisho wa siku anakusanya posho inayotokana na wavuja jasho!! Kwa nini hiyo nafasi asimwachie Mmasai mwingine mwenye nia ya kujadili maendeleo ya Monduli na taifa kwa ujumla!!
 
hebu tuacheni unafiki hivi kweli kama kuna watu ambao wanasikiliza hotuba za majumuisho ya bajeti za wizara huwa hawasikii akitajwa?? karibu kila wizarakatajwa kachangia kwa maandish na hushukuruwa sasa mlitaka hadi asimame aseme ndipo mujua kachangia??

Lowassa sio mtu wa kusimama na ktoa povu kama hao wajinga wengine eti kwa kivuli cha kuwatete wananchi kumbe wanawaangamiza, the guy is smart and he knows how to play his cards well.

Hili ulilosema nalo neno. Mimi nakuunga mkono kwa dhati, moja kuwa tuokoe gharama na kila waziri atume hotuba yake kwa email kwa wabunge watoe michango yao kwa maandishi mtoa hoja ajibu na spika awe mod mwisho wa siku bajeti ipite kwa maandishi(written) hii in fwact ni nzuri kuliko ..ndiyooooooooooooo. kwa mtindo huo tutawahi kupata E-parliament na tutakuwa tumewapiga bao hata wale wa developed world!
 
Nimekuwa nafuatilia vikao vya bunge mara nyingi lakini sijamsikia Lowasa akichangia lolote kwa jimbo lake au Taifa, ni nini anachofanya bungeni? au anasubiri posho ziingie!

Amejivua gamba
 
ANC KWA ZULU NATAL..unatokwa povu mpaka unalowa kwenye ma sa bu ri yako..kisa EL Katajwa!!
 
Nimekuwa nafuatilia vikao vya bunge mara nyingi lakini sijamsikia Lowasa akichangia lolote kwa jimbo lake au Taifa, ni nini anachofanya bungeni? au anasubiri posho ziingie!

Mpaka aalikwe kwenye harambee! Anaogopa kuongelea bungeni sababu ya wizi aliowafanyia watanzania
 
Nimekuwa nafuatilia vikao vya bunge mara nyingi lakini sijamsikia Lowasa akichangia lolote kwa jimbo lake au Taifa, ni nini anachofanya bungeni? au anasubiri posho ziingie!
Usimwone kobe kakaa kimya ukafikiri kafa, anatunga sheria. Pia kumbuka kimya kingi kina kishindo kikuu. Vilevile 'silence speaks!'
 
Nimekuwa nafuatilia vikao vya bunge mara nyingi lakini sijamsikia Lowasa akichangia lolote kwa jimbo lake au Taifa, ni nini anachofanya bungeni? au anasubiri posho ziingie!

kama ni wewe ni mpenzi wa vuvuzela basi utasubiri milio ya mavuvuzela, ila kama unapenda game, basi tafuta njia nyingine ya kujua performance ya mbunge
 
Anaona aibu maana naye ni muuaji wa aina yake, hana lolote la kuchangia kwani yuko bize kupanga dili za namna ya kupata Urais hata kwa kumwaga damu.
 
sio lazima kupayuka payuka kama chadema wanavyofanya, unaweza pia kuchangia kwa maandishi inakubalika
 
kwani kusema kunaongeza nini? mbona hao wanaosema hakuna walicho badilisha?

Kuongea kwa maana ya kuonekana ni muhimu sana ki- Siasa! Yeye keshafika level za kuonekana na yupo mahala safi. Lakini usiwabeze wanaosimama na kuongea bungeni ili waonekane hiyo ndiyo siasa ya wakati wao ili kurudi Bungeni, wewe vipi??
 
Kila binadamu mwenye akili timamu na siha nzuri akiamka asubuhi anakuwa na malengo ya vitu atakavyotimiza siku hiyo aliyojaliwa kuwa ahi. Hata mtoto wa darasa la kwanza anajua anakwenda kufanya nini shuleni. Sasa huyu Mhe WM aliyejitoa mhanga - huwa anaamka asubuhi, anaoga, anavaa suti, na kumuaga mkewe kuwa anakwenda kukaa pale ukumbi wa majadiliano wa bunge kama KISANAMU, yaani kama vile tunavyoviona kwenye maduka ya urembo!! na ikifika mwisho wa siku anakusanya posho inayotokana na wavuja jasho!! Kwa nini hiyo nafasi asimwachie Mmasai mwingine mwenye nia ya kujadili maendeleo ya Monduli na taifa kwa ujumla!!

lowasa ni mmeru!
 
Back
Top Bottom