Recent content by Kosae1

  1. K

    JamiiForums Tanzania Ni hatari kwa afya yako kuweka wallet kwenye mfuko wa nyuma

    Maelezo mazuri. Ila mm nimependa ulivyoomba radhi kwa heshima.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Utapeli kwa mitandao ya simu umezidi

    Watanzania ni watu wa ajabu sana. Mtu anatoa hoja ili solution ya kudumu ipatikane, mwingine anauliza wewe unajibu hizo message za nini? Amekuambia alijibu? Wapo wahanga ambao uwezo wao wa kuchanganua mambo sio kama wewe. Kwa nini usiache jambo la msingi likaprevail ili lifanyiwe kazi? Nchi...
  3. K

    JamiiForums Tanzania SHAHIDI: Chusa alipanga mauaji ya Bilionea Msuya

    Uko right. Kama ambavyo nimejawa na roho ya kisasi as I write here. Hata nimemwambia room met niombee. Maana kwa nilichofanyiwa nimemhakikishia nitalipa kisasi. Na naiona akili yangu ikiwa tayari. Nasali namwomba Mungu aniondolee but for sure haitoki. Si roho ya kuua, natamani tu kulipa...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Special Treads for USM ALGER VS Dar es Salaam Young Africa

    Mpira ni akili kama ilivyo akili ya kuwa daktari au engineer. Ukiongea watu hawakuelewi but that is the reality. Wachezaji wetu hawana akili ya darasani wala ya mpirani. Yote haya ni zao la elimu yetu mbovu. Isiyofikirisha, isiyochunguzisha, isiyoibusha vipaji na umahiri. Elimu yetu haijengi...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Ilikuwa ni lazima Masogange afe?

    Umenena
  6. K

    JamiiForums Tanzania Watawala tafakarini kauli zenu, msijivune na kuwa na kiburi

    Muda utasema.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Zitto: Rais anasema, IGP anasema, Naibu wa Rais (Dsm) anasema, Waziri anasema. Yote hii ya nini mbona mnapanick?

    Amani anailinda Mwenyezi Mungu acha kuhadaika.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Sijasaini nyaraka yoyote TLS toka nipigwe risasi

    Low life. Get a life man. You sound so pathetic
  9. K

    JamiiForums Tanzania Masoud Kipanya anafanya biashara gani hadi aendeshe magari ya kifahari? Mwenyewe amejibu..

    Tusimdharau aliye uliza? Si mnaona sasa mnafunguka na wengine tu napata kujifunza na kuwa inspired.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Wako wapi wahenga wa usafiri Kilimanjaro?

    Hahaha black nyau. Hii zamani sana hii!
  11. K

    JamiiForums Tanzania Wako wapi wahenga wa usafiri Kilimanjaro?

    Kumbe. Sikujua aisee
  12. K

    JamiiForums Tanzania Wako wapi wahenga wa usafiri Kilimanjaro?

    Hahaaa hii kinabo umenikumbusha mbali sana mkuu
  13. K

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: Alichokisifia Lowassa juu ya utendaji wa Rais Magufuli sio msimamo wa CHADEMA

    Excellent speech Freeman. Huko ndio kuiva kisiasa. Kuna muda huwa na kukubali sana mkuu. Kwenye mambo mazito unajua kutulia.
Back
Top Bottom