Recent content by Koryo2

  1. K

    Hakika Watumishi tumedhalilishwa

    Kuna msemo aliousema Mhe. Rais wa Awamu ya Nne. Cha kuambiwa tumia na akili zako. Mhe. Rais anapokea ushauri kutoka kwa Wateule wake lakini mwisho wa siku atumie uamuzi wake. The Hon. President should be firm on her principles.
  2. K

    Tunaiomba DIT ifungue tawi hapa Mwanza kwa ajili ya kujaza gesi asilia kwenye magari

    Wote tunafahamu jinsi gharama ya mafuta ya dizeli, petroli na ya taa yalivyo ghali. Njia pekee ya kushusha gharama hizi ni kuanza kutumia gesi asilia kujaza kwenye magari yetu na hivyo tunaiomba DIT ifungue tawi hapo Mwanza ili wananchi wanaopenda kutumia gesi kwenye magari yao wapate huduma...
  3. K

    Naibu Waziri wa Afya amuondolea madaraka Mkuu wa Idara Paul Koroso, aliyemjibu “Sijali lolote hata nikifukuzwa kazi”

    Kweli Naibu Waziri hana mamlaka ya kumvua cheo mtumishi wa Serikali mpaka taratibu zifuatwe.
  4. K

    Ukaguzi wa magari yaliyotumika kutoka Japan kufanyika hukohuko itasaidia kupunguza figisu

    Ninaishukuru sana Serikali kwa uamuzi ulioufanya kwa ukaguzi wa magari yaliyotumika yanayotoka Japan kufanyika huko huko Japan. Kusema kweli TBS wamejiharibia wao wenyewe, kwa asilimia kubwa hakuna mteja aliyetoa gari yake bila kutoa rushwa. Kulikuwa na figisufigusu ya hapa na pale mara mteja...
  5. K

    Kama mwananchi wa kawaida naiomba Serikali inieleze kiasi cha madeni nchi inayodaiwa

    Kama mwananchi wa kawaida ninatakiwa kujua madeni yote tunayodaiwa kama nchi. Tangu awamu ya Sita iingie madarakani haipiti hata mwezi mmoja utasikia nchi ya Tanzania imekopa matrillioni kadhaa Hii tabia hatukuiona Awamu ya Tano na miradi ilikuwa inajengwa kama kawaida. Leo sikuamini macho...
  6. K

    Nauli ya China - TZ ni 11M, Bei ya kwenda tu kwa ATCL

    Mimi sijakuelewa. N 1 M au 11 M?.
  7. K

    Januari Makamba: Wanaohoji kuchelewa Mradi wa JNHPP ni upuuzi tu

    Mhe. Makamba lugha uliyotumia siyo lugha ya staha ni lugha ya dharau.
  8. K

    Kulikoni gawio la Vodacom!

    Ndugu zangu mimi ni mwanahisa wa Vodacom ninauliza kama tayari wamekwishatoa gawio lao kwa wanahisa. Naona Mabenki tayari yamekwishatoa gawio kulikoni Vodacom?.
  9. K

    Kamishna wa zamani wa TRA, Rishade Bade arejea Wizara ya Fedha

    Nashangaa sana mtu aliyestaafishwa kazi anarudishwa tena kwenye utumishi wa umma.
  10. K

    Hivi ni lazima Mawaziri wanapoongea kumtaja taja Rais kila baada ya sentensi mbili?

    Mimi ndiyo nawashangaa na hasa yule wa Wizara ya Maji.
  11. K

    Mahakama Kuu imewaruhusu Halima Mdee na wenzake 18 kufungua kesi ya kupinga CHADEMA kuwavua uanachama

    Kwa kweli kama nchi tunaelekea pabaya. Sina la kusema kwa vile hata layman anajua nini kingetokea.
  12. K

    Tunaomba turudishiwe fedha zetu za maombi kutokana na ugawaji wa viwanja kwa upendeleo jijini Mwanza

    Ni masikitiko makubwa kuona upendeleo wa dhahiri wa ugawaji wa viwanja katika Jiji la Mwanza. Wote tulitangaziwa kuomba viwanja hivyo kwa ada ya Tshs.20,000 kwa kila kiwanja lakini cha kusikitisha waliopata viwanja ni vigogo ambao hata hawakufika kuchukua fomu na kuzijaza. Hivi ni kweli mtu...
  13. K

    Serikali imrudishe Mhandisi Kakoko kama suluhisho la matatizo ya Bandari

    Kumekuwa na matatizo mengi sana yanayohusu Bandari zetu na hasa ya Dar es Salaam. Awamu ya Tano ilimteua Injinia Kakoko kuongoza Bandari na matokeo yake kila mmoja wetu aliona. Injinia Kakoko aliongeza mapato ya Bandari zaidi ya mara kumi. Ni vema Injinia Kakoko akarudishwa tena pale na kwa...
  14. K

    Tufanye yafuatayo ili kuongeza ufanisi wa ukusanyaji wa mapato katika bandari yetu ya Dar es Salaam (TPA)

    li imrudishe Injinia Kakoko. Ndugu huyu alipaisha sana mapato ya TPA.
Back
Top Bottom