Recent content by koryo

  1. K

    JamiiForums Tanzania Rais wangu, usikubali uwanja wa soka Arusha uitwe jina lako. Mpe mwanakwenda Edward Lowassa, utaheshimika milele!

    Uwanja uitwe Ngorongoro Stadium kuipa umaarufu eneo la utalii wa Ngorongoro.
  2. K

    JamiiForums Tanzania 'Magari ya Makonda' yakwama kukarabatiwa, mwenyewe agoma kutoa ushirikiano

    Nchi hii Bwana.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Afya kazi imemshinda tishio la Hospitali binafsi kuikataa NHIF

    Mhe. Rais atafute mtu mwenye uwezo na awe na taaluma ya Afya kuongoza Wizara ya Afya badala ya Mhe. Umy.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Bajeti ya Wizara ya Ujenzi 2023/24 ilikuwa 812 billioni zilizopokelewa ni asilimia 12 tu?

    Tuelezwe kwa uwazi utekelezaji wa mpango wa Bajeti 2023/24 mpaka sasa kwa kila Wizara/Sekta.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mwigulu acha siasa za maji taka

    Namshauri Mhe. Rais amteue Mhe. Mwigulu awe Katibu Mkuu wa Chama chetu pendwa CCM.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Habari Njema: IMF yatabiri Tanzania kuongoza kiuchumi Afrika Mashariki ifikapo 2028

    Tupunguze kukopa. Mikopo itatupeleka kubaya.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Ninataka kuchukua mkopo wa Tsh. Milioni 50 Benki ya CRDB kwa miaka 9, marejesho jumla nitalipa M90

    Riba hiyo inatisha. Angalia sana aina ya biashara unayotaka kufanya usije ukafa kwa presha.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Taifa liache unafiki. Hivi uovu wa Gekul unafikia hata robo ya ule wa Makonda?

    Ninashauri hata RPC, OCD na Maaskari waliomtesa huyo kijana wachukuliwe hatua. Inakuwaje kijana amelala Kituo cha Polisi siku nne bula dhamana huku akiteswa bila sababu. RPC,OCD wawajibike.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Hali ya SGR ni mbaya na mradi haujulikani utakamilika lini

    Hata Daraja la Magufuli Kigongo Ferry to Busisi ni kama kazi imesimama.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Wafahamu wagombea wanaokwenda kushindana na Dr Tulia katika nafasi ya kuwania Urais wa IPU

    Kila la kheri Mhe. Spika.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Baada ya TPA kutangaza tenda kuhusu uwekezaji Terminal 2, Bado mnaamini Bandari zote zimeuzwa?

    Tangazo la TPA ndo wote tulitaka ili apatikane Mwekezani kwa njia ya ushindani. Hapa hutasikia kelele tena na evaluation itafanywa na wataalam wabobezi na kwa njia ya uwazi.
  12. K

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Rais tunakuomba utupie jicho TARURA

    Fanyeni utafiti kwa kuwauliza Wakandarasi wa Mkoa wa Mara na hasa Wilaya ya Tarime. Kunatakiwa Mameneja wote wa Wilaya waondolewe na kuletwa wengine wenye weledi.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Ninayoyaona KKKT nimegundua Kanisa Katoliki ndilo kanisa la Kweli

    Naungana mtoa hoja. Hivi kweli mtu amekuwa Mkuu wa Kanisa miaka 10 halafu anarudi kugombea?. Hii haileti sense. Aliacha nini huko?. Nasikia katika huo uchaguzi wale waliokuwa tishio walifukuzwa kwenye ukumbi wa uchaguzi. Hii ndiyo KKKT.
Back
Top Bottom