Mwigulu acha siasa za maji taka

2020 Mwigulu alipata kura Kura 677 Katala ukapata kura 14.

Mwigulu kapeleka VETA iramba kabla ya hizo ngonjera zenu na kile kikundi chenu cha wajinga wa mjini.

Iramba ina meremeta inang’ara imebadilika, kubwa zaidi Iramba, Singida na Kanda ya kati zimeheshimika kitaifa kupitia Mwigulu, na Kwa mara ya kwanza Mwigulu ndio KingPin wa Kanda ya kati anaetegemewa kuwafuta machozi ya kuwa Rais wa Kwanza toka kanda hii iliyosahaulika muda mrefu.
 
Kitila ni wa huko na ndiyo waziri wa uwekezaji, aingilie kati. Mwigulu ni kama mfalme wa iramba hakuna wa kumtikisa katika jimbo lake. Jimbo lenyewe halina maendeleo ya kusisimua kama alivyo yeye. Kuna wabunge wanaonekana ni smart lakini majimbo yao yako hoi hayaendani na jinsi walivyo, ni bora wakapisha wengine watakaopaisha majimbo yao kimaendeleo

Huijui iramba kaa kimya, Iramba ya Mwigulu sio hiyo mliyoizoe.

Iramba ya Mwigulu ni hii;

ina rami kila mahali.
Ina Taa za barabarani mpaka kwenye mapalio.
Ina madaraja kila kona
Ina zahanati kila kijiji
Ina mabweni ya kila kata
Ina High school kila tarafa
Ina miundombinu ya kutosha hadi majimbo mengine yanaona wivu.

Mwigulu kwa Iramba amemaliza kazi, kwasasa watanzania wanamtaka awe Rais 2030 kwasababu sifa zote muhimu anazo.

1. Ni mtu aliuishi umaskini, anazijua shida zetu.
2. Amesoma bila kubabaisha, elimu yake imenyooka hakuwahi kukamatwa hata sup.
3. Ana mcha Mungu, anasaidia wasiojiweza wengi sana, hata katala akitaka anaweza kusaidiwa.
4. Ameprove kuwa ni mtu kazi na kazi tumeona, mapato ya kutosha kavunja rekodi, kainua uchumi uliokuwa umeuliwa na magufuli, karejesha pesa mtaani vyuma vimeachia.
 
2020 Mwigulu alipata kura Kura 677 Katala ukapata kura 14.

Mwigulu kapeleka VETA iramba kabla ya hizo ngonjera zenu na kile kikundi chenu cha wajinga wa mjini.

Iramba ina meremeta inang’ara imebadilika, kubwa zaidi Iramba, Singida na Kanda ya kati zimeheshimika kitaifa kupitia Mwigulu, na Kwa mara ya kwanza Mwigulu ndio KingPin wa Kanda ya kati anaetegemewa kuwafuta machozi ya kuwa Rais wa Kwanza toka kanda hii iliyosahaulika muda mrefu.
Kwa io miaka yote hiyo ya kuwa mbunge amefanikiwa kujenga veta pekee yake?
 
Kwa io miaka yote hiyo ya kuwa mbunge amefanikiwa kujenga veta pekee yake?
unazungumzia ndago, misigiri, sheluhi na kiomboi? Kwa hiyo hiyo barabara inayotarajiwa kujengwa kwa lami toka singida, sepuka, ndago na kizaga ni jitihada zake? Basi kama ni hivyo tumpe maua yake mwanilamba, ilamba nkulu
 
Back
Top Bottom