Recent content by korotambe

  1. K

    JamiiForums Tanzania vyama vya upinzani vinavyotaka CCM iendelee kutawala milele

    Habari za ukanda na dini kwa cdma eti mmelishwa dhana hyo na ccm. Na naona wasiokuwa na ufahamu na utawala wameamini. Kwrli tz kuna vilaza. Kuweni na ufahamu na utawala kuwa hakuna uongozi ila babaisha babaisha tu.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Bunge la Katiba: Nani atakuwa Spika?

    Hakuna mahakama ya kadhi kwenye rasimu...vitican nao wakidai wawemo humo... Ni her hilo halimo.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba ni kiboko ya chadema; afanya kufuru Songea.

    Ndo ujinga ule ule mhalifu anajulikana lkn sheria haishiki mkondo wake huo utawala wa kesheria uko wpi? Uhakika ni ule ule kwamba legitimacy ya kutawala imekwisha potea. Tena mnajua Lema na Mboy wamejilipua chukuwa hatua kwa masilahi mapana ya umma... nje ya hapo ni ujinga.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba ni kiboko ya chadema; afanya kufuru Songea.

    Kama ni swala la uroho wa madaraka nani mwenye uroho aliyekaa miaka 50,bila kufanya cha maana katika elimu, maji, barabara na afya au ni yule ambaye yy hajawahi kushika madaraka ya nchi. Mie hapo nashindwa kujua jamaa hyu Nchemb akili iko au hakuna. Mnapo ng'ang'ania mshike madaraka tambua huo...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kigwangalla afunguka...

    Chama cha matukio
  6. K

    JamiiForums Tanzania Familia ya Sheikh Mkuu Mara yalaani CCM kuvuruga msafara wa Dr. Slaa

    Chama cha Matukio ni CCM. Angalia kirefu chake (Chama Cha Matukio) siyo CHADEMA
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Nyerere hakutaifisha seminari za Katoliki?

    Pimeni maneno mayolishwa na mashehe. Shida kubwa ya jamaa zetu hao hawakukazana na elimu dunia by then ili matunda yake yaonekane sasa. Na hakuna wa kulaumu. Ukilaumu nyerere utakuwa unainyesha ulivyo kilaza. Miaka yote elimu yetu baada ya uhuru imekuwa huru tu. .. ukiangalia sana kutoka maeneo...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha amjibu Prof. Lipumba

    Wizara ile inahitaji uzoefu na maswala ya fedha na uchumi. Sasa kama mjuu huyu ndo anafanya internship hapo hii tena shughuli....je tutafika? Uzoefu na uelewa binafsi ni kitu muhimu sana. Hata kama kuna wasaidizi huwezi kuwa mzigo kuuliza kila kitu. Lkn tumuamini mkuu aliyemteua.. tuendelee na...
Back
Top Bottom