Recent content by Koroso

  1. K

    CHADEMA Temeke wamfukuza uanachama Diwani wa Kurasini Bw. Matiti Togocho

    Maamuzi hayo kama kunaushahidi ni sahii sana big up chadema
  2. K

    Mtandao hatari Tanzania unaoisaka Ikulu usiku na mchana

    Vp uteuzi WA madc au wakurugenzi haujapata ndg make upakaji wako mafuta ni hatari
  3. K

    Bandari yawafuata wafanyabiashara 100

    Mimi ninavyoona serikali isijenge uadui na wafanyabiashara kwasababu wao ndio walipa kodi wakuu tuangalie sukari tulikuwa tunanunua sh 1800 bei ya jumla Leo ni 2500 kutokana kutokaa pamoja na wafanyabiashara
  4. K

    Wabunge wa CCM waanza kulalamikia utawala wa Rais Magufuli, wadai hali ngumu ya maisha

    Ukweli ndio huo acha tusome namba mpaka pale tutakapo acha ushabiki WA vyama na kusimamia ukweli ndio mungu atakapo tupa dira sahii ya maisha
  5. K

    Dr. Mwakyembe: Rais hajavunja sheria wala Katiba

    Mwakyembe simlaumu kwasababu aliwai kuandika kwamba suluwisho LA muungano wetu ni serikali tatu lakini baada ya kuwa waziri kipindi cha bunge maalumu LA katiba aliyakana maneno yake na kutaka serikali mbili na hayo maneno yake ndio alifanyia udoctor kama research ya kumpa kiwango hicho cha elimu...
  6. K

    Chama cha UPDP kufanya maandamano September 15 kumpongeza Rais Magufuli kuzuia mikutano ya siasa

    UDP mwenyekiti ni cheyo na katibu mkuu ni mdogo wake na inaofisi Bariadi tu Tz nzima na haina tawi nje ya Bariadi hivyo waandamaji watakuwa ni cheyo na mdogo wake plus wake zao
  7. K

    Namuunga mkono Mhe Magufuli, lengo lao usifanikiwe

    Ndg una kumbukumbu nzuri ya matukio lakini ungejua kwamba vyama vya siasa vipo kikatiba na katiba inarusu mikutano ya vyama vya kisiasa ila tu ungesoma katiba ili usiwe mshabiki wa mambo yasiyokuwa na tija kwa taifa
  8. K

    Nimepata mchumba kupitia JamiiForums

    Mimi nakuomba hata ikitokea kutofautiana tunaomba kuwa majaji WA kesi yenu
  9. K

    Hakiyanani.. Nimeamini demu wangu muaminifu!!!

    Sisi tutamwitaji ukishamsogeza nyumbani ndio tutatokanae out
  10. K

    CHADEMA yashindwa katika Kesi ya kupinga matokeo Mbeya vijijini

    Mimi ninachodhani kinaleta shida kwenye uwanja WA siasa ni kwamba wengi kubaka uwanja huu kwasababu babu alikuwa ccm Na niwe hivyo bila hoja
  11. K

    Inawezekana hiki ni kiashiria kwamba uchumi wa Lowassa umetikisika?

    Jamani watz wenzangu tunashindwa kutofautisha mambo ambayo yako personal Na tunaingiza ushabiki Na siasa maji taka biashara ya mbowe hayana mahusiano Na chadema wala lowassa kwani mwimbaji komba alivyokuwa anadaiwa kikwete mwenyekiti WA ccm alifanya nn
  12. K

    Daah kweli Mungu hamtupi mja wake... Aisee siamini

    Mimi nilichojifunza kwako kaka ni kwamba unavutiwa Na urembo Na kazi ya Huyo Dada kumbuka ndoa ni zaidi ya urembo Na kazi Na hakuna MWL WA ndoa
  13. K

    Ushauri: Vyama vya Upinzani vifutwe, kibaki CCM pekee kama chama dola

    Ndg kwanza ulikomea darasa LA ngapi ilinijue namna ya kukusaidia kimaarifa make haujitambui
  14. K

    Ushauri: Vyama vya Upinzani vifutwe, kibaki CCM pekee kama chama dola

    Ungekuwa mfatiliaji WA nchi hii usingetumiwa kusema usiyo yajua ktk historia WA nchi hii
  15. K

    Mh. Tundu Lissu, kuwa makini na CHADEMA

    Dr slaa hakufukuzwa CHADEMA ndg achakutumika ili kupotosha jamii
Back
Top Bottom