Recent content by korongoni92

  1. korongoni92

    JamiiForums Tanzania Msaada wandugu: Jinsi ya ku-bold maneno humu na WhatsApp

    kamchezo katamu
  2. korongoni92

    JamiiForums Tanzania Msaada wandugu: Jinsi ya ku-bold maneno humu na WhatsApp

    bado najaribu
  3. korongoni92

    JamiiForums Tanzania Msaada wandugu: Jinsi ya ku-bold maneno humu na WhatsApp

    []color=red najarib guys asante kwa elimu
  4. korongoni92

    JamiiForums Tanzania Kijana kuwa makini, wanawake toka katika familia hizi hawafai kwa ndoa

    My concern mwingilianonwa makabila ndio chanzo cha kuvunjika ndoa zilizo nyingi Mzalamo kuolewa na mkulya Mchaga kuoa mnyakyusa Mhehe kuoa mnyamwezi
  5. korongoni92

    JamiiForums Tanzania Natamani kumuacha ila namhofia mwanangu

    Mtoa post naomba kunukuu machache 1umesema ana elimu duni (kidato cha 4 alizungusha) 2 mvivu kitandani 3 mama wa nyumbani 4 mgomvi Mi naona umesahau mema yake yote maana kakuvumilia kwa muda wa miaka saba toka unasoma na ulianza nae ukijua na fom 4 failure sasa kwa nin leo unamdhalilisha hv sio...
  6. korongoni92

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa mpenzi wangu (x) anawapa baadhi ya rafiki zake namba zangu wanitongoze

    Hapa mimi kwa mtazamo wangu naona dada anatangaza soko yupo free kuanzia 2018 watu wapeleke maombi
  7. korongoni92

    JamiiForums Tanzania Kero nilizokutana nazo Dar natamani kurudi mkoani

    Nimenote vitu 3 1 mgeni 2 umetembea kwa miguu umesema 3. Masaki Huyu jamaa anahitaji msaada jaman kwa anatutambia kuwa alikuwa anaenda masaki sasa ilikuwaje utembee..
  8. korongoni92

    JamiiForums Tanzania Kama simu yako ni original chora huu mstari

    ___________ na rangi hio [emoji168][emoji168] mtapakaga wenyewe mi niko busy
  9. korongoni92

    JamiiForums Tanzania Foleni ya watu na wengine walikesha ili wapate kununua iPhone X inayofunguliwa kwa kutambua sura ya anayetumia

    Tupia simu yako tuone kama sio tecno bas itel
  10. korongoni92

    JamiiForums Tanzania Alivyoleta dalili za kuniacha nikamwekea (Sanction ) vikwazo kama Marekani,sasa analia

    Kwa kauli yako tu (Nimrudie au)ni ishara bado unampenda means umekosa mamuzi cha msingi jilipue tu Sent using Jamii Forums mobile app
  11. korongoni92

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Walioikamata bombadia wasiikubali malipo nusu, pia wanaoidai Tanzania waisake Dreamliner kokote iliko

    Ndio abariki ili tulipe madeni mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  12. korongoni92

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Walioikamata bombadia wasiikubali malipo nusu, pia wanaoidai Tanzania waisake Dreamliner kokote iliko

    #Mungu ibariki Tanzanzani #Mungu mbariki jpm Sent using Jamii Forums mobile app
  13. korongoni92

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Walioikamata bombadia wasiikubali malipo nusu, pia wanaoidai Tanzania waisake Dreamliner kokote iliko

    Yup yup #Hapakaz tuuu Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom