Ushauri: Walioikamata bombadia wasiikubali malipo nusu, pia wanaoidai Tanzania waisake Dreamliner kokote iliko

Kama kua mpinzani ndio unakua na mawazo kama yako basi iacheni tu CCM iendelee kutuongoza milele
 
sijajua wapi tulikosea, ila kua uwezekano kabisa watu wenye mawazo ya huyu mtoa maada huw hawajatahiriwa, kiroho, kiakili na kimwili

you cant think bad in the land of your mother!! never!
 
visasi vya kijinga, endeleeni kuisakama nchi yenu wenyewe, jipendekezeni kwa mabepari

Ngw'ana Kabula
Saguda47
Hatuna kisasi na nchi yetu ila tunacho kera watanzania ni propaganda nyingi na kukurupuka kwa ............ na kufanya mambo bila kufikiri alaf pia hatak ushaur kingine kbaya zaidi ni kuuona upinzani kama uadui

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sijajua wapi tulikosea, ila kua uwezekano kabisa watu wenye mawazo ya huyu mtoa maada huw hawajatahiriwa, kiroho, kiakili na kimwili

you cant think bad in the land of your mother!! never!
Hata mimi mwanzoni nilimshangaa sana, lakini kabla hatujamlaumu, ni vyema tukajiuliza kwanini watanzania wanakua negative kuhusu serikali yao?

Tusilaumu matokeo, twende mbele tujiulize kwanini haya yanatokea? why now?
 
IMG-20170823-WA0028.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom