Hahahahahaa mimi walikuwa kila siku wananitumia majembe,siku nilipogundua walipoweka zile GPRS zao walifurahi,mpaka leo wananisaka na mkopo sijawahi kulipa.
Wadau naombeni mnijuze nani mpumbavu na lofa kati ya mtu anayeishabikia upinzani na mtu ambaye wanawake wako wengi lakini hakuona mke wa kuoa akaenda kuchukua mke wa mwenzake pamoja na watoto na kuwalea..a.k.a pimbi mmoja ivi
Acha umburura wewe,kwaiyo babako akiwa darsa la saba au Nursery leave hawezi kuwa kichwa cha familia?elimu yako imekusaidia kutoa makamasi tu na si kingine,rudi shule ya watu wazima Mburura wewe.Kijana msomi una aibu kutetea sisiemu.
Ukabila Tu Umewajaa,kuna mtu hapendi pesa,Great Thinkers Know Nothing When it comes to tribalism.Kila mtu na tabia yake na usihukumu mtu mmoja sababu ya wengine
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.