Recent content by korija

  1. K

    JamiiForums Tanzania Tunahitaji nini, maarifa ya mtu, cheti au jina?

    Vyoote, Jina ni kwa ajili ya utambulisho wako tujue wewe nani, ujuzi ktk kazi, vyeti ni kuthibitisha ukomavu wa ujuzi wako. Kila mmoja awe mahala kwa nafasi yake.
  2. K

    JamiiForums Tanzania MWANZA: Watu wawili wanaosadikiwa kuwa majambazi wameuawa

    Mmesahau kauli ya kiongozi,?
  3. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Raisi wa Kenya amtakia heri ya Christmas na Mwaka mpya mbunge aliyemtukana

    Kibongo bongo hata media yenyewe ingepigwa X wengine wakafuta.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Mwanamke akatwa kichwa kwa tuhuma za kwenda madukani bila mumewe

    Huu ni ulimwengu wa propaganda kama kila linaloripotiwa unabeba, it's too sad.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Wanashikiliwa kwa kumkashfu mtume

    Hapana ni mafunzo mema aliyofunza kwa waislamu, pale aliposema''imani ya muislamu haijakamilika hadi pale mimi (mtume) nitakapokua napendeza zaidi kuliko mtu kupenda nafsi yake '' hili linaushahidi pale sayyidna umar alipomwendea mtume Muhammad na kumwambia '' hakika mimi nakupenda sana ewe...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Wanashikiliwa kwa kumkashfu mtume

    Hakumkashifu Dibagula alinukuu quran.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Wanashikiliwa kwa kumkashfu mtume

    Katika nguzo za imani ya kiislam kuna kuamini mitume WA MUNGU, asie amini nguzo hiyo si Muslim na ndio maana wanamuami na hawawezi kumkashifu hata siku moja.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna kundi linampenda huyu mtukufu?

    Kama ningepewa nafasi ya kusahihisha hizi comments kuna watu ningewapa 0/10.
Back
Top Bottom