Recent content by Kop0

  1. Kop0

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unaweza solve kesi kubwa ukiwa umejizima data

    Washamaliza. Nimewauliza vipi wamenitumia 50 m pesa
  2. Kop0

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unaweza solve kesi kubwa ukiwa umejizima data

    Cha msingi wapo pamoja. Ndo najisifia kama ukoo walishondwa mimi nimeweza kwann msinipe maua yangu
  3. Kop0

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unaweza solve kesi kubwa ukiwa umejizima data

    Ni kesi mkuu. Ukoo wote walishindwa kusolve.
  4. Kop0

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unaweza solve kesi kubwa ukiwa umejizima data

    Sio kila kesi inahitaji utimamu wa binadamu, nyingine unatikiwa ujizime data ndo u solve. Na kesi ya mshikaji wangu na mke wake walitengana kwa mda wa miaka wote washikaji zangu. Baada ya kupiga kilimanjaro zangu niliwapigia conference call sasa hivi wanarabuana huko.
  5. Kop0

    JamiiForums Tanzania Azam Tv Application yenu ya Azam Max inasumbua ndani ya Android Tv

    Azam tv naomba mrekebishe azam max ndani ya android tv. Inasumbua ku log in Hongereni pia kwa kuweka app hii ndani ya android tv.
  6. Kop0

    JamiiForums Tanzania Moja ya Apps nzuri kuwa nazo kwenye simu.

    Hii apps ipo playstore ni moja ya apps nzuri sana. Apps hii ni kama Insta naweza sema au tiktok ila inakupa task za kufanya na ukiweza kufanya kwa wakati wanakulipa japo kidogo. Pia ukiweza tengeneza video fupi ya sec 90 yenye content nzuri ikapendwa na watu namaanisha likes nyingi unapata pia...
  7. Kop0

    JamiiForums Tanzania Lilikuwa ni kosa kubwa kuifanya Dodoma makao makuu ya nchi

    Hela inabadilisha mji. Dubai ni jangwa kabisa. Libya ni jangwa sehem kubwa. Dodoma maji safi ni km 150 tu wanapata maji mji mzima hadi kulima watalima. Maji mtera yapo ya kutosha.
  8. Kop0

    JamiiForums Tanzania Tusaidiane faida na changamoto za kuweka milango ya aluminium kwenye nyumba ya kuishi kama mbadala wa milango ya mbao milangoni?

    Vyumbani weka mbao. Chooni weka aluminium. Kiusalama zaidi.
  9. Kop0

    JamiiForums Tanzania Msaada wa shule nzuri ya boarding kwa mtoto wa kike

    Habari, kama kichwa cha habari. Msaada wa shule nzuri kwa mtoto wa kike boarding O level. Nataman sana za kikatoliki kwa anaejua. Pia na connection naomba tafadhali. Asante.
  10. Kop0

    JamiiForums Tanzania Kwanini tunapenda kushabikia vita?

    Sababu hatujaiona kwa macho
  11. Kop0

    JamiiForums Tanzania Tupeane mbinu: Ni uwekezaji gani wa zao la kudumu ambalo nikilima linaweza kunipa kipato toshelezi?

    Lima kahawa Mbeya au Mbinga Songea. Kahawa ya kisasa miaka mitatu unaanza kuvuna. Pia korosho ya mda mfupi nadhani miaka miwili au mitatu unaanza kuvuna. Kahawa nifuate nikupe update zake me nimelima naanza kuvuna mwaka huu.
  12. Kop0

    JamiiForums Tanzania Ni sababu ipi muhimu sisi wazazi tunakuwa na mtoto zaidi ya mmoja?

    Kila mtoto ana riziki yake. Pia Africa life expectancy ni ndogo sana. Miumdo mbinu mingi imekaa vibaya kupoteza mtoto na kifo ni rahisi sana. Kama huamini panda majinjah ya dar, mbeya utaelewa nini maana kifo.
  13. Kop0

    JamiiForums Tanzania Njia gani nitumie kumtisha jirani yangu?

    We unazo! Unajua maana ya mfano? We hata la saba sidhani kama ulifaulu.
  14. Kop0

    JamiiForums Tanzania Njia gani nitumie kumtisha jirani yangu?

    Nao ni ushauri ila naishi nitakavyo. Na roho mbaya yangu ila sijawahi kumgongea kwake. Wewe nawe unaonekana kutwa kwenye nyumba za majirani tuliza miguu ishi kwako.
  15. Kop0

    JamiiForums Tanzania Njia gani nitumie kumtisha jirani yangu?

    Hujakosea aisee. We kwenu hamna wachawi? Hata ukipigwa chale ni uchawi pia. Nipe mrejesho
Back
Top Bottom