Recent content by Kop

  1. K

    JamiiForums Tanzania Sir David Attanbrough

    Hebu rudia kuandika kwa usahihi hiyo Attanbrough,
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kilio kwa waajiriwa wote mwakani kutoka TRA

    TIN inayotakiwa kwa mfanyakazi ni kwa ajili ya kuwasilisha PAYE tu..na haina uhusiano na biashara.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kilio kwa waajiriwa wote mwakani kutoka TRA

    Ona hata aibu basi kudanganya..kuna TIN ya biashara na ambayo siyo ya biashara..wenye leseni za udereva wote wana TIN, ambayo siyo ya biashara. TIN inayotakiwa na TRA kwa wafanyakazi siyo TIN ya biashara.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Tusisahau Tsh milioni 5 ya Tanzania ni sawa na Kwacha 28,000 ya Zambia

    Hivyo ndivyo unavyojua, kutokana na thamani ya pesa ya Zambia kushuka, Benki kuu ya Zambia iliamua kuondoa sifuri tatu katika pesa ya nchi hiyo..badala ya 1000 kwacha, ikawa 1 kwacha..soma zaidi...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Muundo mpya wa makutano ya Mbezi Mwisho. Hongera sana Tanroad kwa usikivu

    Huna haja ya kuumiza kichwa, hii mada ulileta na tukaona ukatoa na ushauri pia..pokea shukrani, wengine watakuja kusema umetumwa au umepangwa. Ndio tulivyo, wengine wameumia sana kuona mawazo yako yamepewa uzito..JPM anasema chapa kazi..
  6. K

    JamiiForums Tanzania Muundo mpya wa makutano ya Mbezi Mwisho. Hongera sana Tanroad kwa usikivu

    Kongole nyingi kwao kwa kusikiliza ushauri, nikupe pia heko nyingi kwa kuleta changamoto hiyo na kupendekeza utatuaji wa changamoto hiyo..
  7. K

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, tunahitaji maamuzi magumu TAZARA

    Hii hoja naunga mkono mia kwa mia.. Magufuli tafadhali mizigo yote ya inayoelekea Nyanda za juu Kusini kutokea bandari ya Dsm, iende kwa reli, TAZARA, na inayotoka kusini kama Zambia, Malawi, na Congo mwisho wa lorries Mbeya, then TAZARA wailete bandarini Dsm. Mbeya sasa iwe kitovu cha usafiri...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Mzee akipingana na maono ya maendeleo kuwa ni vitu kama flyover, madaraja , ndege

    We mbona hujatekwa mpaka sasa hivi na kila siku humu unaipinga serikali ya awamu ya tano..?
  9. K

    JamiiForums Tanzania Wasiojulikana kesho Julai 10 kuanikwa majina yao

    Tunamsubiri amtaje aliyemteka Mkenya, otherwise kigogo atakuwa bingwa mwingine wa porojo za mitandaoni
  10. K

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli akiri GDP kushuka yale makusanyo ni hewa, Kumbe Zitto yuko sahihi

    Kwa shule kanjanja niliyosoma, naelewa makusanyo/collections na gdp ni vitu viwili tofauti, labda kama kuna.mtaala mpya wa uchumi kuwa collection =gdp
  11. K

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli akiri GDP kushuka yale makusanyo ni hewa, Kumbe Zitto yuko sahihi

    Mkuu hebu nisadie kipande anachosema Gdp imeshuka, masikio yangu yamesikia makusanyo ya ndani...
  12. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Rais kasaini sheria mpya ya siasa na Tanzania inaenda kuwa Rwanda rasmi, ndio maana Polepole anasema vyama vingi havina maana CCM kinatosha

    Labda kama hiyo sheria inatumika kuanzia kabla haijasainiwa vinginevyo Maalim keshawapiga chenga ya mwili.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Kisa cha kutafakarisha na kufikirisha juu ya Kikwete na Kagame

    🤗🤗🤗🤗
  14. K

    JamiiForums Tanzania Balozi mstaafu Joseph G. P: Kwa hili Mabalozi wajitafakari

    Let the home lazy thinkers start berating the ambassador for his view..🙌🙌
  15. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uhuru Kenyatta barabarani bila ulinzi

    Kitu gani unatuaminisha kuwa hana ulinzi..?? Ukute hayo magari yote pembeni yake ni secret service... Wabongo bwana...🙆🙆🙆
Back
Top Bottom