Rais Magufuli, tunahitaji maamuzi magumu TAZARA

masopakyindi

masopakyindi

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2011
Messages
14,614
Points
2,000
masopakyindi

masopakyindi

JF-Expert Member
Joined Jul 5, 2011
14,614 2,000
Reli ya TAZARA ilitazamiwa kuwa mkombozi wa usafiri abiria na mizigo nyanda za juu kusini.

Utendaji wa TAZARA umekuwa wa kusuasua kwa muda mrefu sana sasa.
Usafiri wa treni hii ni on andboff kwa sababu mbali mbali za kiutendaji.
Mto wa Morogoro utuamshe kwenyebusingizi wa pono.

Naomba Mh John Pombe Magufuli atoe tamko tu, mizigo yote iendayo Malawi, Zambia,Congo na nyanda za Juu Kusini, wenyewe waichukue mizigo hiyo Depot za TAZARA aidha Makambako au Mbeya.

Kitendo hiki si tu kitaokoa barabara zetu na uharibifu bali hata kupunguza kabisa ajali kama ile iliyoua watu karibia 75 Morogoro.
Mh Magufuli, maamuzi magumu tafadhali.
 
cleverbright

cleverbright

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Messages
1,530
Points
2,000
cleverbright

cleverbright

JF-Expert Member
Joined Apr 2, 2015
1,530 2,000
Wewe unadhani haya uliyayaandika hapa na Kuyaona Yeye hayajui au labda Wasaidizi wake Wakuu wa Jengo Tai / Kitengo hawajamwambia? Ukiona amekaa nalo Kimya Kwanza jua amegundua kuwa kuna makubwa hapo juu ya huo Udhaifu ambao umeusema hivyo anataka kwenda nalo taratibu ili lisije likaharibu zaidi badala ya Kujenga kama si Kuboresha pia. Jicho la Rais kama Taasisi ni Kubwa mno Mkuu na hakuna ambacho ama haambiwi au hakijui. Sana sana hili Bandiko lako litachochea tu Wasaidizi wake ( hao niliowataja hapo ) wamkumbushe na hatua za Kiumakini ambazo hazitoathiri Ustawi wa Wafanyakazi wengi wa Kitanzania waliopo hapo zichukuliwe.
 
K

Kop

Senior Member
Joined
Oct 17, 2012
Messages
172
Points
500
K

Kop

Senior Member
Joined Oct 17, 2012
172 500
Hii hoja naunga mkono mia kwa mia.. Magufuli tafadhali mizigo yote ya inayoelekea Nyanda za juu Kusini kutokea bandari ya Dsm, iende kwa reli, TAZARA, na inayotoka kusini kama Zambia, Malawi, na Congo mwisho wa lorries Mbeya, then TAZARA wailete bandarini Dsm. Mbeya sasa iwe kitovu cha usafiri wa mizigo Kusini mwa Africa..JPM unaweza baba...
 
kikiboxer

kikiboxer

Senior Member
Joined
Dec 22, 2017
Messages
137
Points
500
kikiboxer

kikiboxer

Senior Member
Joined Dec 22, 2017
137 500
Wewe unadhani haya uliyayaandika hapa na Kuyaona Yeye hayajui au labda Wasaidizi wake Wakuu wa Jengo Tai / Kitengo hawajamwambia? Ukiona amekaa nalo Kimya Kwanza jua amegundua kuwa kuna makubwa hapo juu ya huo Udhaifu ambao umeusema hivyo anataka kwenda nalo taratibu ili lisije likaharibu zaidi badala ya Kujenga kama si Kuboresha pia. Jicho la Rais kama Taasisi ni Kubwa mno Mkuu na hakuna ambacho ama haambiwi au hakijui. Sana sana hili Bandiko lako litachochea tu Wasaidizi wake ( hao niliowataja hapo ) wamkumbushe na hatua za Kiumakini ambazo hazitoathiri Ustawi wa Wafanyakazi wengi wa Kitanzania waliopo hapo zichukuliwe.
Kuwa raisi sio kujua kila kitu mkuu.!anajua vingi ambavyo ni vya muhimu.
Kuna mengi tu watu hutoa mawazo yao humu na yanafanyiwa kazi mfano lile la Road license.
 
masopakyindi

masopakyindi

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2011
Messages
14,614
Points
2,000
masopakyindi

masopakyindi

JF-Expert Member
Joined Jul 5, 2011
14,614 2,000
Wewe unadhani haya uliyayaandika hapa na Kuyaona Yeye hayajui au labda Wasaidizi wake Wakuu wa Jengo Tai / Kitengo hawajamwambia? Ukiona amekaa nalo Kimya Kwanza jua amegundua kuwa kuna makubwa hapo juu ya huo Udhaifu ambao umeusema hivyo anataka kwenda nalo taratibu ili lisije likaharibu zaidi badala ya Kujenga kama si Kuboresha pia. Jicho la Rais kama Taasisi ni Kubwa mno Mkuu na hakuna ambacho ama haambiwi au hakijui. Sana sana hili Bandiko lako litachochea tu Wasaidizi wake ( hao niliowataja hapo ) wamkumbushe na hatua za Kiumakini ambazo hazitoathiri Ustawi wa Wafanyakazi wengi wa Kitanzania waliopo hapo zichukuliwe.m
Mkuu watu wanaendelea kufa kwa ajali za malori na TAZARA ipo tu inakula hasara.
 
masopakyindi

masopakyindi

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2011
Messages
14,614
Points
2,000
masopakyindi

masopakyindi

JF-Expert Member
Joined Jul 5, 2011
14,614 2,000
Maso pakyindi. Kulonda abhakamugho abha kumbeya wakabhe ikyuma. Hongera Sana kwa wazo zuri
Mkuu ni muhimu kuitumia rasilmali ya TAZARA kikamilifu.
 
M

Missile of the Nation

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2018
Messages
3,745
Points
2,000
M

Missile of the Nation

JF-Expert Member
Joined May 24, 2018
3,745 2,000
Mnataka kodi za mizani, kodi za mafuta, ajira za madereva, ziwe replaced vipi?

Kimsingi unapokuwa nchi masikini wakati mwingine unalazimika kupita njia ndefu japo fupi unaiona

Kimsingi naunga mkono hoja ya Mleta mada lakini as a nation wakati mwingine unajikuta unaweza kuinstall robot ifanye kazi na kuleta ufanisi zaidi mahali lakini ukipiga mahesabu ajira za raia zitakazopotea unaona bora uendelee na nguvu kazi ya watu

Au kama policymaker unaweza kuona kabisa ukilileta bepari moja lilime kwa matrekta hekali na hekali unaweza kusolve kabisa tatizo la njaa, lakini at the same time unaona ukifanya hivyo wakulima wadogowadogo umewamaliza

Mfano huohuo ni mfano wa reli vs malori
 
K

Kikiwo

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2017
Messages
833
Points
500
K

Kikiwo

JF-Expert Member
Joined Nov 30, 2017
833 500
Reli ya TAZARA ilitazamiwa kuwa mkombozi wa usafiri abiria na mizigo nyanda za juu kusini.

Utendaji wa TAZARA umekuwa wa kusuasua kwa muda mrefu sana sasa.
Usafiri wa treni hii ni on andboff kwa sababu mbali mbali za kiutendaji.
Mto wa Morogoro utuamshe kwenyebusingizi wa pono.

Naomba Mh John Pombe Magufuli atoe tamko tu, mizigo yote iendayo Malawi, Zambia,Congo na nyanda za Juu Kusini, wenyewe waichukue mizigo hiyo Depot za TAZARA aidha Makambako au Mbeya.

Kitendo hiki si tu kitaokoa barabara zetu na uharibifu bali hata kupunguza kabisa ajali kama ile iliyoua watu karibia 75 Morogoro.
Mh Magufuli, maamuzi magumu tafadhali.
Sasa wewe unataka madreva wetu wafe njaa?
 
kiunzi

kiunzi

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2018
Messages
405
Points
250
kiunzi

kiunzi

JF-Expert Member
Joined Nov 11, 2018
405 250
Wazo zuri sana, ningependa Tazara wapewe bidhaa za mafuta eg. Petrol, diseri na vilipuZi kama baruti.

Aina hii ya mizingo in hatari kupita katika Barbara zetu zenye misongano na ajali nyingi.

In vema miundo mbinu ya Tazara na utendaji wake uboreshwe ili kuondoa ukilitimba uliyopo iwapo watapewa hii monopoly.
 
M

murongo munene 2019

Member
Joined
Jul 16, 2019
Messages
88
Points
150
M

murongo munene 2019

Member
Joined Jul 16, 2019
88 150
Reli ya TAZARA ilitazamiwa kuwa mkombozi wa usafiri abiria na mizigo nyanda za juu kusini.

Utendaji wa TAZARA umekuwa wa kusuasua kwa muda mrefu sana sasa.
Usafiri wa treni hii ni on andboff kwa sababu mbali mbali za kiutendaji.
Mto wa Morogoro utuamshe kwenyebusingizi wa pono.

Naomba Mh John Pombe Magufuli atoe tamko tu, mizigo yote iendayo Malawi, Zambia,Congo na nyanda za Juu Kusini, wenyewe waichukue mizigo hiyo Depot za TAZARA aidha Makambako au Mbeya.

Kitendo hiki si tu kitaokoa barabara zetu na uharibifu bali hata kupunguza kabisa ajali kama ile iliyoua watu karibia 75 Morogoro.
Mh Magufuli, maamuzi magumu tafadhali.
Kweli ww unafanana na jina lako kwa hiyo unataka malori yetu tuyaingize kwenye mwendokasi au madereva waje kula nyumbani kwako na familia zao, Acha Kiki za kijinga ww huko US na EU Lori bado linategemewa itakuwa huku kwetu shithole countries
 
M

murongo munene 2019

Member
Joined
Jul 16, 2019
Messages
88
Points
150
M

murongo munene 2019

Member
Joined Jul 16, 2019
88 150
Tazara shida yake kubwa ni Engine na mabehewa ya abiria na mzigo walishasema hilo jpm alipokuwa anaenda Rufiji kuzindua stiglers
 
VAPS

VAPS

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2012
Messages
2,729
Points
2,000
VAPS

VAPS

JF-Expert Member
Joined Jul 10, 2012
2,729 2,000
Fikirieni wenye malori, vituo vya mafuta, mama lishe ,dada poa nk wanaonufaika na hiyo chain njia ya kusini. Katika uchumi huria mambo ya zuia kataza hayatakiwi, Tazara wajipange kivyao wateja wataamua.
 
Sibonike

Sibonike

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2010
Messages
13,905
Points
2,000
Sibonike

Sibonike

JF-Expert Member
Joined Dec 23, 2010
13,905 2,000
Reli ya TAZARA ilitazamiwa kuwa mkombozi wa usafiri abiria na mizigo nyanda za juu kusini.

Utendaji wa TAZARA umekuwa wa kusuasua kwa muda mrefu sana sasa.
Usafiri wa treni hii ni on andboff kwa sababu mbali mbali za kiutendaji.
Mto wa Morogoro utuamshe kwenyebusingizi wa pono.

Naomba Mh John Pombe Magufuli atoe tamko tu, mizigo yote iendayo Malawi, Zambia,Congo na nyanda za Juu Kusini, wenyewe waichukue mizigo hiyo Depot za TAZARA aidha Makambako au Mbeya.

Kitendo hiki si tu kitaokoa barabara zetu na uharibifu bali hata kupunguza kabisa ajali kama ile iliyoua watu karibia 75 Morogoro.
Mh Magufuli, maamuzi magumu tafadhali.
Muundo was TZR umekaa kisiasa mno. General Manager lazima awe Mzambia. Walifanya hivyo ili ku balance kwamba HQ ipo Tanzania.
Bila kuufumua muundo huo, tutaendelea kusikia ngonjera nyingi.
 
M

muheza2007

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2010
Messages
329
Points
500
M

muheza2007

JF-Expert Member
Joined Mar 19, 2010
329 500
Tatizo la Tazara sio uchache wa miziigo. Wana mizigo mingi kuliko uwezo wao.

Wanahitaji investment kubwa kuweza kuwa na uwezo huo. Hivyo muhimu ni serikali itoe mapesa pia.
Kule Zambia mpaka kuna mizigo wanaikataa.
Reli ya TAZARA ilitazamiwa kuwa mkombozi wa usafiri abiria na mizigo nyanda za juu kusini.

Utendaji wa TAZARA umekuwa wa kusuasua kwa muda mrefu sana sasa.
Usafiri wa treni hii ni on andboff kwa sababu mbali mbali za kiutendaji.
Mto wa Morogoro utuamshe kwenyebusingizi wa pono.

Naomba Mh John Pombe Magufuli atoe tamko tu, mizigo yote iendayo Malawi, Zambia,Congo na nyanda za Juu Kusini, wenyewe waichukue mizigo hiyo Depot za TAZARA aidha Makambako au Mbeya.

Kitendo hiki si tu kitaokoa barabara zetu na uharibifu bali hata kupunguza kabisa ajali kama ile iliyoua watu karibia 75 Morogoro.
Mh Magufuli, maamuzi magumu tafadhali.
 
Nyoka mwenye makengeza

Nyoka mwenye makengeza

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Messages
790
Points
1,000
Nyoka mwenye makengeza

Nyoka mwenye makengeza

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2018
790 1,000
Limefika.
 
leroy

leroy

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2010
Messages
1,098
Points
2,000
leroy

leroy

JF-Expert Member
Joined Dec 8, 2010
1,098 2,000
TAZARA ITANDIKWE STANDARD GAUGE, TUCHAGUE MAWILI EITHER KUKAMULIWA KATIKA KODI AMA TUKAKOPE CHINA.
 
Washawasha

Washawasha

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2006
Messages
10,646
Points
2,000
Washawasha

Washawasha

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2006
10,646 2,000
Mkuu hao wenye malori ndio wanaofanya sabotage ili treni iwe ya kubebea ng'ombe tu,hivi nchi inaweza kuendelea kwa kuipa kisogo reli?
Nalog off
 
kukumdogo

kukumdogo

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2011
Messages
1,743
Points
2,000
kukumdogo

kukumdogo

JF-Expert Member
Joined Feb 1, 2011
1,743 2,000
Reli ya TAZARA ilitazamiwa kuwa mkombozi wa usafiri abiria na mizigo nyanda za juu kusini.

Utendaji wa TAZARA umekuwa wa kusuasua kwa muda mrefu sana sasa.
Usafiri wa treni hii ni on andboff kwa sababu mbali mbali za kiutendaji.
Mto wa Morogoro utuamshe kwenyebusingizi wa pono.

Naomba Mh John Pombe Magufuli atoe tamko tu, mizigo yote iendayo Malawi, Zambia,Congo na nyanda za Juu Kusini, wenyewe waichukue mizigo hiyo Depot za TAZARA aidha Makambako au Mbeya.

Kitendo hiki si tu kitaokoa barabara zetu na uharibifu bali hata kupunguza kabisa ajali kama ile iliyoua watu karibia 75 Morogoro.
Mh Magufuli, maamuzi magumu tafadhali.
Umeongea vizuri ila Tazara haina mabehewa ya kutosha kubeba mzigo mkubwa hivyo utasababisha mizigo ya watu kuchelewa zaidi ya miezi 6.
 
Forum statistics

Threads 1,326,242
Members 509,448
Posts 32,215,577
Top