Recent content by KooZito

  1. K

    JamiiForums Tanzania PhD ya Musukuma yazua gumzo, Chuo kilichomtunuku hakitambuliki

    Musukuma alifanya vizuri sana kujifukiza.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Dk Slaa: Bado naweza kurudi kuwa Padre

    On his way to Chadema
  3. K

    JamiiForums Tanzania Inadaiwa Freeman Mbowe azuiliwa kupewa chakula akiwa mahabusu

    Yaani watu humu ni wajinga sana. Hivi mleta uzi unajua chakula kutoka nje ni danger sana gerezani kuliko kula na masela chakula Cha Serikali. Unajua kilichomkuta Tito Magoti? Nikupe elimu kidogo. Gereza la Ukonga kutoka kaunta unapoonjea chakula hadi chumba alipo Mbowe Kuna korido tatu. Mtu wa...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Uhuru: Rais Samia hana wazo la kugombea Urais 2025

    Kama Kuna mwanasiasa makini ukanda huu wa SADC ni Samia
  5. K

    JamiiForums Tanzania Hoja ya Polepole: Katiba inatengenezwa na Rais anayetoka madarakani siyo Rais aliyeingia madarakani. CHADEMA waelewe hili

    Nina ushahidi usioacha shaka kwamba Slowslow anavuta bangi.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Fatma Karume siku hizi "kajitenga" na CHADEMA

    Chadema mlijisahau sana. Bollen Ngetti amewaumiza sana. Waliotekwa wote Chadema alikuwa nao ndiye alitengeneza michongo. Ni Cobra hatari.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Biden invited 110 Countries - Summit for Democracy, Tanzania mpya haimo!

    Xi Jinping naye amealika Mkutano wa wakuu wa nchi duniani kujadili uchumi na demokrasia. Tanzania mbele kama tai. USA haimo kwa hiyo ngoma droo.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Dotto Biteko ni janga lingine, Rais Samia chukua hatua jamaa ataimaliza nchi

    Naunga mkono hoja.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Hivi Mayanga Construction, kampuni ya ujenzi wa barabara nyingi awamu ya 5 imepotelea wapi?

    CIA (Chato International Airport)
  10. K

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Hizi hapa faida za ziara ya Rais Samia Suluhu Hassan nchini Misri

    Atake asitake 5 Tena.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Katika hali ya kawaida Makonda hana raha kabisa

    Aliwahi kufanya group sex na mademu wa Airtel. Dah jamaa bhana.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Mwandishi wa Habari Gordon Kalulunga adaiwa kusakwa na Jeshi la Polisi, aishi mafichoni

    Mwandishi wa Habari mkongwe Gordon Kalulunga anadai kusakwa na Jeshi la Polisi kila Kona ya jiji la Mbeya. Kwa maelezo yake Kalulunga anasema tarehe 6 mwezi huu saa sita mchana alipigiwa simu na Msaidizi wa OCCID wilaya ya kipolisi Mbalizi Christopher Makawia na kumwambia, "tukutane pale Benki...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Katibu Mkuu Kiongozi mstaafu Dkt. Bashiru Ally?

    Kwani alistaafu? Yuko biza kuunda Umoja Party.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Wanabodi, kwa trendi hii anayoendanayo Rais Samia Suluhu Hassan katika eneo la demokrasia, natabiri atashinda Tuzo ya Mo Ibrahim aliyoikosa Nzee Nkapa ikaenda kwa Chissano wa Msumbiji. Mauaji ya Zanzibar yalimharibia sana Nkapa. Hatuyategemei kwa Hangaya. Nawasilisha.
Back
Top Bottom