Dotto Biteko ni janga lingine, Rais Samia chukua hatua jamaa ataimaliza nchi

Ngungenge

JF-Expert Member
Jun 11, 2016
2,863
3,190
Dotto Biteko unajua utaondoka Wizara ya Madini, ndo uibe kiasi hicho? Hizo pesa utakufa utaziacha.

Madini ya Tanzanite yanasafisishwa kwa njia za panya kwa kushirikiana na wafanyabiashara na polisi katika mipaka yetu. Waziri badala ya kudhibiti anakuwa mashirika wa ufisadi huu. Hivi Dotto unadhani ukiiba madini yote itakusaidia nini kwenye maisha yako? Halafu kila siku kushinda kwa waganga ili Rais asikutumbue nakwambia uchawi una mwisho.

Percent za mgodi hazikutoshi sasa tamaa imekuzidi. Rais Samia huyu bwana akiachwa ataifilisi nchi.

TAKUKURU kama mlivyoagizwa fuatilieni huo wizi wa madini ili mliepushe taifa na majangili hawa wa mwendazake

Rais Samia
KAZI IENDELEE

Pia soma: Hongera Jf kwa Whistleblow,JF Tubadilike, Tusichafue Bure Majina ya Watu Kwa Tuhuma za Hearsay Sizizo na Uthibitisho!, Ukituhumu, Weka Uthibitisho!.
 
Fitina tu. Ndio mijizi imedhibitiwa ina chuki na watu wa awamu ya tano. Awamu gani ya mijizi zaidi ya ile ya nne ambayo ndio watu wake wanajaribu kummiliki mama.
 
Naona kama unaongozwa na wivu sana na njaa fulani hivi.

Kama una uhakika na unacho kisema sema kwa point ili unaye mueleza akuelewe.
 
Sijui kimemtokea nini Dotto. Mara baada ya kifo cha Magufuli, kazi kubwa anayofanya ni kukusanya pesa tu. Yeyote mwenye pesa akimpa, akasema anataka eneo fulani, hata kama ni leseni ya mtu mwingine au kampuni, mmiliki wa zamani anatupwa nje, anapewa aliyempa pesa.

Amewapanga watu wake maeneo muhimu yote kwenye Tume ya madini kwaajili ya kutimiza matakwa yake.

Kuna watu wamepewa maeneo lakini mioyoni mwao wananung'unika jinsi waziri alivyowakamua pesa nyingi.

Nina imani Dotto Biteko uwaziri ameukatia tamaa, anachofanya sasa ni kukusanya tu pesa.
 
Majungu at work, mafanikio ya Dotto Biteko wizara ya madini ni makubwa sema tu mnamtafutia sababu
Ni ushamba mkubwa kiuongozi
Waziri utumishi unaamuru vyombo viende kwenye mradi wa waziri mwenzio wakati mnakaa baraza moja.Utumishi kuko ovyo huagizi ndani kwako washughulikie.
Waziri Mkuu ndiye angeagiza hivyo vyombo.Mtainua mabega na kumdemkia
 
Fitina tu. Ndio mijizi imetdhibitiwa ina chuki na watu wa awamu ya tano. Awamu gani ya mijizi zaidi ya ile ya nne ambayo ndio watu wake wanajaribu kummiliki mama.
Biteko ni lowasa mwingine we kaa ukizani tunampiga majungu
 
Ni ushamba mkubwa kiuongozi
Waziri utumishi unaamuru vyombo viende kwenye mradi wa waziri mwenzio wakati mnakaa baraza moja.Utumishi kuko ovyo huagizi ndani kwako washughulikie.
Waziri Mkuu ndiye angeagiza hivyo vyombo.Mtainua mabega na kumdemkia
Hapo ishu sio Waziri Mkuu ishu ni wizi wa madini
Mwenye vyombo vya kuchunguza ni Waziri wa nchi
 
Sijui kimemtokea nini Dotto. Mara baada ya kifo cha Magufuli, kazi kubwa anayofanya ni kukusanya pesa tu. Yeyote mwenye pesa akimpa, akasema anataka eneo fulani, hata kama ni leseni ya mtu mwingine au kampuni, mmiliki wa zamani anatupwa nje, anapewa aliyempa pesa.

Amewapanga watu wake maeneo muhimu yote kwenye Tume ya madini kwaajili ya kutimiza matakwa yake.

Kuna watu wamepewa maeneo lakini mioyoni mwao wananung'unika jinsi waziri alivyowakamua pesa nyingi.

Nina imani Dotto Biteko uwaziri ameukatia tamaa, anachofanya sasa ni kukusanya tu pesa.
Naona umeamua kumvalia njuga hadi akuombe pooo
 
Doto Biteko unajua utaondoka wizara ya Madini ndo uibe kiasi hicho hizo pesa utakufa utaziacha.

Madini ya Tanzanite yanasafisishwa kwa njia za panya kwa kushirikiana na wafanyabiashara na polisi katika mipaka yetu. Waziri badala ya kudhibiti anakuwa mashirika wa ufisadi huu. Hivi Doto unazani ukiiba madini yote itakusaidia nini kwenye maisha yako. Halafu kila siku kushinda kwa waganga ili Rais asikutumbue nakwambia uchawi una mwisho.
Percent za mgodi hazikutoshi sasa tamaa imekuzidi. Rais Samia huyu bwana akiachwa ataifilisi nchi.

TAKUKURU kama mlivyo agizwa fatilieni uo wizi wa madini ili mliepushe taifa na majangiri hawa wa mwendazake

Rais Samia
KAZI IENDELEE
takukuru ipi unazungumzia?
 
Back
Top Bottom