Recent content by konrad

  1. konrad

    Sebastian Kolowa Memorial University

    Hazihusiani Mkuu na maada husika hichi chuo pekee hapa TANZANIA ndiyo ilikuwa kinatoa kozi, Bachelor in mental health sciences , ndiyo maana nilikuwa nataka kufuatilia kama bado inachukua Wanafunzi, maana kwenye guide book ya TCU haipo kabisa siku hizi
  2. konrad

    Sebastian Kolowa Memorial University

    Naomba kufahamu kama Sebastian Kolowa Memorial University,ambayo ipo Mkoa wa Tanga bado inatoa Huduma ya Elimu? Na je inatoa kozi zipi?
  3. konrad

    Msaada: AVN yangu inasoma kwenye number ya simu ya mtu nisiyemjua!

    Wakuu Naomba kujua Huyu Ndugu, Anaweza saidika Vip? Alikuwa amesafiri kwao huko kijijini, sasa Juzi amerudi Dar,sasa akaanza mchakato wa kuomba AVN number , kila akiingiza details zake anambiwa the user mwenye hizo details ameshakuwa registered, sasa akashindwa kuamini, maana haujawahi kuomba...
  4. konrad

    Msaada: AVN number inatumika kwenye kuomba lesseni kwa Clinical Officers (CO)?

    Naomba kuuliza je AVN number inatumika kwenye kuomba lesseni kwa Clinical Officers (CO)
  5. konrad

    TANZIA: Isaac Muyenjwa Nyagabona Gamba afariki dunia

    My condolences to all the bereaved Sent from my LDN-L21 using JamiiForums mobile app
  6. konrad

    TANZIA: Isaac Muyenjwa Nyagabona Gamba afariki dunia

    RIp Sent from my LDN-L21 using JamiiForums mobile app
  7. konrad

    Ombi

    Samahani wana jukwaa naomba mnisaidie kwamba kati yaJiji la Arusha na Jiji la Mwanza wapi unaweza kupata laptop mpyaa kwa bei nzuri
  8. konrad

    Taarifa za mikopo midogo midogo ya kibiashara!

    Samahanini wana jukwaa naomba kuuliza kwamba kati ya jiji la mwanza na arusha ni wapi unaweza kupata laptop mpya kwa bei nzuri
  9. konrad

    Naomba anayejua mahitaji ya ku-apply mkopo loan board

    Nimeomba kujua Bro siyo kwamba ndo iwe hivyo anyway asante
  10. konrad

    Naomba anayejua mahitaji ya ku-apply mkopo loan board

    Naomba anayejua vitu ambavyo vinahitajika katika kuomba mkopo mwaka wa masomo 2016/2017 Anisaidie jamani
  11. konrad

    Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Muhimbili afanya mabadiliko hospitali ya Taifa Muhimbili

    Jamani tuombee Mungu kwa hayo yaliyo mpata na uchunguzi huo ufanyike kwa haki na busara She is a very good Dr Pole sana Mama yangu Dr Ogweyo Mungu akupe moyo mkuu my beloved Mother
  12. konrad

    Yaliyonikuta kwenye Voda shop Bukoba

    Jamani Leo nimeenda vodashop Bukoba mjini nilichokiona siyo huduma kwa wateja nilienda kurenew laini wanakwambia ukapige photocopy kitambulisho kwenye stationary ya voda shop iliyokaribu na hiyo voda shop daaaaah yaani wanakutoza hela mara mbili
  13. konrad

    Jakaya Kikwete simkubali katika uongozi lakini maisha yake binafsi yananivutia sana(nayakubali)

    Jamaa yuko njema kwenye maisha hana komplication
Back
Top Bottom