Recent content by Konkii

  1. Konkii

    Uhakika Tanzania tunaingia katika kumi bora za Nchi zenye wananchi wenye furaha duniani

    Labda anawaza yule mbwa aliyekula milioni 1.7 kwa mwezi. Huyo ndo yupo uchumi wa kati. Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
  2. Konkii

    Kocha Mkuu Sven Ven Der Broeck aachana na Simba SC

    Tena baada ya kujua umuhimu wa paka Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
  3. Konkii

    Kocha Mkuu Sven Ven Der Broeck aachana na Simba SC

    We utakuwa Kagere wewe Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
  4. Konkii

    CCM Watumia kambi za mafunzo JKT kurubuni vijana kupitisha Katiba yao ya Kifisadi ya Chenge

    Ndugu wana JF. Awali ya yote nawasalimu kwa mujibu wa imani zetu!!! Chama Cha mapinduzi CCM baada ya kuona hali yao kisiasa inazidi kuporomoka na hasa baada ya kuona mwamko wa vijana katika uchaguzi wa serikali za mitaa, wameamua kuja na mbinu mbadala kuwadanganya vijana waliopo mitaani ili...
  5. Konkii

    Mh.Mbunge Joshua Nassari akiwa katika fungate Tembo camp na Serena hotel Zanzibar.

    Haya Msalani toka nianze kusoma coment zako leo ndo nimecheka sana ila inaonekana una wivu sana jirani yangu katika siasa.
  6. Konkii

    Wimbo gani umekukaa kichwani leo?

    Utukufu Wa Mungu umeshuka, Kwetu ni Ushindi Mkuu- Sumo Mwakalubula
  7. Konkii

    Rais Kikwete kuzindua mradi wa maji Karatu kesho tarehe 12 Aprili, 2014

    Mbona kama Hueleweki? Inaonekana siasa inakutesa sana. Mimi niko Karatu before KAVIWASU na shida ya maji haijaanza leo. Ilikuwepo tokea hata kabla mji haujafikia hapo ulipo. tena kipindi hicho watu tulikuwa tunachota maji kule Shangrilla, Kambi Ya nyoka na Kambi ya Fisi. Sasa wewe ni chuki zako...
  8. Konkii

    Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Alhamisi, Tarehe 10 Aprili, 2014 - Uwasilishaji wa Taarifa za Kamati

    wewe umeamka au umekurukupia mada? Nina wasiwasi kuna sehemu ulikesha ndo unaamka. pole sana maana chadema inakutesa
  9. Konkii

    90% ni uongo!

    Yaani wewe ni muongo kiasi kwamba hata unachoandika ni uongo na hakieleweki.
  10. Konkii

    Kama unapenda music, Watch and listen carefully

    Kuna tofauti kubwa na sana kati ya Wanamuziki na wasanii.
  11. Konkii

    Wanawake na hili mnasubiri wanaume tuandamane?

    Mabata wadogo wadogo wanaogelea, wanaogeleaaaaaaa!!,, katika shamba zuri la bustaniii..... Wanalia .......................... Jana nilikuwa naangalia isidingo nikaona wanapromote ushoga na kuanzia sasa siitaki hata kuisikia
  12. Konkii

    Wanawake na hili mnasubiri wanaume tuandamane?

    Mabata wadogo wadogo wanaogelea, wanaogeleaaaaaaa!!,, katika shamba zuri la bustaniii..... Wanalia ..........................
  13. Konkii

    Kilichojiri Bungeni 20/02/2014: Kuna tetesi ya uwepo wa rasimu ya Katiba mbadala!

    Kijana Utaifakwanza nadhani umemsikia kijana wenu Makonda. Umeamini sasa kuwa CCM hakuna mtu wa maana Kuanzia vijana mpaka wazee? Kazi ni kwako utaifakwanza. nakutakia Ijumaa njema na usisahau kwenda kuliswalia taifa letu teule
  14. Konkii

    Hili bunge limejaa washenzi na wahuni sijapata kuliona toka tupate uhuru, Rev. Mtikila

    Wewe Kijana wewe!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!??????????????????????
  15. Konkii

    Wasikilize Wazanzibar na Muungano - Siasa weka kando

    mhhhh!!!!!!! kazi kwelikweli. Hii nchi hii ni kama haina viongozi
Back
Top Bottom