Wimbo gani umekukaa kichwani leo?

Wimbo gani umekukaa kichwani leo?

Naipenda sana Ebenezer ya Angela chibalonza, lakini sometime nasikiliza nyimbo ya shanice Loving you. Japo imepigwa na watu wengi nampenda shanice ananikumbusha mbali.
 
'Daamu ya Yeesu, daaamu ya Yeesu, Daamu ya Yeesu,, husafisha kabisa...' yani leo na drive najikuta naimba wimbo huo, naingia kwawazungu yani wimbo upo tu mdomoni.. nawasha mashine naingia humu nakutana na swali hili...sijui kuna nini leo..
 
We Praise you Lord! Umeimbwa na Emmanuel singers wa SCOAN.
 
uniongoze by sekereti

Huu wimbo wa Uniongoze wa Ephraim Sekeleti kusema ukweli naupenda sana tena sana.Huwezi amini mimi nilikuwa natafuta mtu alieutaja nimgonge like za kutosha sema tu sasa JF wanaruhusu like moja tu
 
Back
Top Bottom