Recent content by Konki kichaa

  1. Konki kichaa

    Ni Mkatoliki 100% ila hizi ni sababu zangu za kwanini Sihudhurii na Sitohudhuria Jumuiya za kila Jumamosi....

    Jamaa umeongea kweli kabisa aisee Yani jamaa Wana michango mingi halafu daily khaaaaaa nimewachoka aiseee
  2. Konki kichaa

    Naomba kujuzwa kuhusu kilimo cha ulezi

    Ulez unalimwa Kwa style 2 Upandikizaji Umwagaji tu sambani 1: Upandikizaji Ulezi unaota vzur na kustaw kwenye shamba jipya Kwa kule kwetu tunaotesha ulez kwenye majivu ambayo Miti iliungua pindi shamba linaandaliwa Ukishaotesha hapo baada ya muda unang'oa na kwenda kupandikiza ktk matuta...
  3. Konki kichaa

    Mbolea ya CAN inawekwa baada ya muda gani katika mmea?

    Uko sahihi sawa Kila mbolea Ina kaz yake
  4. Konki kichaa

    Dawa gani unaweza kutumia shambani baada ya kupanda mpunga ili kuzuia magugu

    Bestomine 2,4 D Inaua majani Aina ya mboga mboga (dicotyledons)
  5. Konki kichaa

    Dawa gani nzuri ya wadudu katika maharage?

    Oh sorry nimechelewa kujibu Dawa za wadudu wa mimea(insect side) Unaweza kutumia Duduba 450 Ec Au karate Hapo utaua wadudu wote Muda mwingine ukiitaji ushauri kuhusu kilimo nitafute pm nikupe ushauri maana ni Mtaalamu wa kilimo
  6. Konki kichaa

    Kilimo cha zao la Ufuta: Masoko, Mbinu na Ushauri Toka kwa Wadau

    2100/= @kg Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
  7. Konki kichaa

    Kilimo chenye viashiria vya faida kubwa

    Kwnn isipandwe masika? Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
  8. Konki kichaa

    Mbio za Mwenge wa Uhuru kuzinduliwa

    Kuutembeza huo mwenge mpaka kuja kuzima hua inacost shingapi?
  9. Konki kichaa

    Uwezekano wa kilimo cha Karafuu, Tanga, Lindi na Mtwara

    Mkuu habari Nitakujibu nikiwa kama extension officer Ili ulime unahitaj kujua mambo mengi na sio kubashiri Mazao hukubali sehem kutokana na hali ya hewa,udongo,n.k sasa unapozungumzia Kwa haraka haraka kwamba Zanzibar na lindi au mtwara zinafanana umeangalia vigezo gani? Je umepima sample za...
  10. Konki kichaa

    Kilimo cha zao la Ufuta: Masoko, Mbinu na Ushauri Toka kwa Wadau

    Stakabadh gharani mambo yashaiva huko songea Namtumbo
  11. Konki kichaa

    Ufugaji wa Bata: Aina za bata, ujuzi, gharama, changamoto, faida na masoko

    Asante sana Nina bata 27 hadi sasa lkn vifaranga zaidi ya 60 vimekufa nazan sikuzingatia chanjo ngoja nianze kufatilia chanjo zao ili nipate matokeo bora zaidi
Back
Top Bottom