Recent content by Kongwamaji

  1. K

    JamiiForums Tanzania Malisa: Kuhusu Hardtalk sikutaka kusema lolote kwa sababu alichokifanya Lissu hakuna mwanaCCM yeyote anayeweza kufanya

    Kitu gani kipya Lisu kaongea zaidi alichoobgea kabla ya kujeruhiwa? Je kujeruhiwa ni mojawapo ya sifa za kuitwa kwenye kipindi hicho au ni kigezo gani?. Je kabla ya kujeruhiwa aliitwa mara ngapi kwenye hardtalk?. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. K

    JamiiForums Tanzania Zitto: Rais hataki CAG amchunguze lengo ni kumuondoa amweke anayemtaka ili atapanye fedha atakavyo. Katibu wa Hazina ni ndugu yake...

    Well said. Zitto alikuwa mwenyekiti wa PAC bado madudu yalikuwa mengi hasaa ya marafiki zake
  3. K

    JamiiForums Tanzania Wakati umefika kuigawa CRDB Bank

    Kimei mdo tatizo kwa benki hiyo. Aliifanya kuwa benki yake na wapambe wake... .
  4. K

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Rais Magufuli azindua daraja la Kilombero. Waziri Mbarawa asema litaitwa daraja la Magufuli

    Kuzindua na kufungua ni vitu viwili tofauti....tafuta kamusi ujisomee kabla ya kukurupuka
  5. K

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Rais Magufuli azindua daraja la Kilombero. Waziri Mbarawa asema litaitwa daraja la Magufuli

    Mheshimiwa Susan Kiwanga amuunga JPM hadharani
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mwanangu wa miaka 9 amekutwa na Virusi vya UKIMWI, sijui amevitoa wapi?

    Ni kweli kabisa, ni vizuri amuanzishie dawa sasa hivi na akifuata masharti miaka 10 na Zaidi ataishi
  7. K

    JamiiForums Tanzania Ninampitisha rasmi SANCHI kama mrithi wa MASOGANGE

    Mashalaaah
  8. K

    JamiiForums Tanzania USISAHAU: TZS 1.5trilioni hazina maelezo. TRA wamedanganya trilioni 2.2 makusanyo mwaka 2016/17

    Hakika tumshukuru mungu laiti kizazi hiki kingekuwepo wakati ule wa kupata uhuru hakika tusingepata uhuru hadi leo
  9. K

    JamiiForums Tanzania Hivi Msukuma halisi huwa anatokea wapi?

    Umejitahidi
  10. K

    JamiiForums Tanzania Hivi Msukuma halisi huwa anatokea wapi?

    Siyo kweli, fanya utafiti zaidi
  11. K

    JamiiForums Tanzania Matukio ya kutengenezwa ya kujiteka

    Makubwaa, tumefika hatua hii??
  12. K

    JamiiForums Tanzania Hivi CHADEMA kuna Demokrasia kweli? kama hakuna hata Mabadiliko ya Mwenyekiti!!!

    Huwa namshangaa sana zitto kwa kuendelea kujipendekeza kwa mbowe na lissu wakati alifukuzwa chadema Kama mbwa kisa kuandika waraka wa mabadiliko ambao ulipewa jina la uhaini ndani ya chama! Wakati zitto na wanzeke wakiwa hawaridhishwi na mwenendo wa mwenyekiti wao, mbowe na genge lake...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Hivi CHADEMA kuna Demokrasia kweli? kama hakuna hata Mabadiliko ya Mwenyekiti!!!

    Ha ha ha haaaa, umeua
  14. K

    JamiiForums Tanzania Lawrence Masha ajivua uanachama wa CHADEMA. Adai hawana nia ya kushika dola!

    Angalia graph toka 2015 hadi sasa halafu utajijibu mwenyewe
  15. K

    JamiiForums Tanzania Tujivunie na kutambia matokeo ya timu ya Tanzania chini ya Prof. Palamagamba J.A.M. Kabudi

    Shame on you, inawezekana wewe ni mnyamurenge
Back
Top Bottom