UNALALAMIKA NILIKUWA WAPI KUTOA HOJA MAPEMA , WEWE ULIKUWA WAPI KUTOA HOJA ZA D.O GLORY,JOHARI...AMEHAMISHWA MAJURA NDIO UNASEMA ETI KIJA NA MSOMI ....ANAUSOMI UPI?
MBONA KUNA VIJANA WASOMI WANA MASTER LAKINI WAHATAMBI TENA NI WAALIMU WA KAWAIDA NA WENGINE NI WARATIBU
DEGREE HOLDER NDIO...
Umeona kaka hiyo Afisa ana matatizo sana ...ilikuwa anatumia madaraka vibaya .....KATEMBEA NA WALIMU WENGI WA KIKE NA ALIWAAHIDI MAMBO MENGI ...
KAMA WAKIZUNGUA TUWATAJE..
WENGINE ALIPANGA AENDE NAYE TWIGA LODGE IPO MAJENGO ILI AMSAIDIE KUPATA RUHUSA YA KWENDA MASOMONI
ALIKUWA WA OVYO BORA...
Huyo Afisa aliyehamishwa ilikuwa kichomi KBS
KATEMBEA NA WAKE ZA WATU WENGI TABIA YAKE HAIKUWA NZURI KABISA,
WALIMU WENGI WA KIKE KAWALAGHAI KUWA ATAWASAIDIA KUPATA RUHUZA ZA KWENDA MASOMONI
...HATA HUKO ALIKOPELEKWA AENDE TU SI KUNA WANAWAKE...NANI ASIYEMJUA
Hizo tuhuma hazina ukweli wowote,palipo na mafanikio ..
majungu lazima...D.o anafanya kazi vizuri sana...na Magu imekuwa ya tatu kimkoa sababu ya kusimamia taaluma hUyo AFISA aliyehamishwa ilikuwa na Tabia mbaya....
.uzinzi ...KATEMBEA NA WAKE ZA WATU WENGI,
WENGINE NI WAALIMU AMEWAVUA MPK...
Huyo aliyehamishiwa Misungwi hafai kabisa maana ameharibu ndoa za walimu, mtukanaji hakuna cha maana alichokifanya hafai kabisa, tutamkumbua JJ aliyekuwa mtumishi hodari mwenye utu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.