Recent content by Kondoo jeuri

  1. Kondoo jeuri

    JamiiForums Tanzania DC Igunga, John Mwaipopo na Mkurugenzi wako Revocatus Kuuli liangalieni suala la ushuru mnawanyanyasa wakulima wa Mwanzugi

    Habari zenu wadau,nimebahatika nimetembelea wilaya ya Igunga katika kijiji cha mwanzugi sehemu wanapolima mpunga nimekutana na manyanyaso makubwa kwa wakulima wa zao La mpunga kwa kile kinachoitwa ushuru wa mazao,nimejionea kwa macho yangu wakulima wanafuatwa shamabani na watoza ushuru...
  2. Kondoo jeuri

    JamiiForums Tanzania Maalim Seif Sharif Hamad atangaza kuihama CUF na kujiunga na ACT-Wazalendo

    :confused:siasa za siasa
  3. Kondoo jeuri

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2018 unaisha, wale tuliopoteza wapendwa wetu tufarijiane hapa, mimi nimempoteza mama.

    Pole pia Mimi mwenyewe nimempoteza mama angu mwanzoni kabisa kwa mwaka huu yaani mwezi wa pili
  4. Kondoo jeuri

    JamiiForums Tanzania RC Makonda: Tayari ninayo majina zaidi ya 100 ya mashoga, kamata kamata ya mashoga kuanza hivi karibuni

    Unapokataa ushoga uukatae na uccm kwa jibu rahisi
  5. Kondoo jeuri

    JamiiForums Tanzania Wakurugenzi wote wa Usalama nchini wawekwa kitimoto na Kamati ya Bunge huku wananchi wakifuatilia!

    Watu mnaona kama kiini macho kumbe ni ukweli,mtaishia kukataa ukweli
  6. Kondoo jeuri

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi na TCRA walipaswa kumuhoji Zitto Kabwe. Anamaanisha nini kwa kusema "The United Republic of Gangsters". Kuna Jamhuri anaikejeli

    Usiruhusu akili ndogo itawale akili kubwa, hivi ulivyofanya analysis mapendekezo yako yakaishia hapo? Itabidi tukuchunguze mwenyewe
  7. Kondoo jeuri

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya majina ya Kisukuma na maana zake

    Mengine siyo majina,umeamua kutania tuu
  8. Kondoo jeuri

    JamiiForums Tanzania Historia ya Kabila la Wahaya

    Wahaya ndio tabia zao kujisifia,kila muhaya anajisifia baba ake na mama ake wanafanya kazi TRA BANK,au weight bridge
  9. Kondoo jeuri

    JamiiForums Tanzania Mbunge Elibariki Kingu atuhumiwa kula pesa ya wanaIgunga

    Elibariki Kingu Jibu tuhuma.
  10. Kondoo jeuri

    JamiiForums Tanzania Aljazeera yachambua maandamano ya Mange, yaishangaa Serikali

    Unaelewa nini maana ya ANALYSIS
Back
Top Bottom