Mnabisha nini wakati hakuna sukari.waandishi wanapoandika amuulize Lowasa ni kumchochea rais awe na aibu kuwa kumbe hili swala la sukari lipo.
Tatizo wengine mmezaliwa na pesa kibao ndo mana mnanunua sukari kwa bei yeyote. ukweli kwa sisi wa hali ya chini hatuwezi kununua sukari. upinzani...
ngoma inogile hiyo. natamani sana uchaguzi ungelikuwa wiki ijayo wa 2020.mi najua yanga anacheza vizuri sana lakini natamani timu yangu nayo ichukue ubingwa.huenda tukafima fainali na ikawa faida na shangwe kwa mtanzania.ukawa oyee
jaribu kuongea na wanamisungwi uone wameshangiria au wamehuzunika.mimi nipo misungwi naogopa kuongea sheria ya mtandao.sina wa kunidhamini.lakini haya ndo yalikuwa maeneo ya ccm damu.huenda upinzani wakawa na faida.
ningekuwa mimi huyo mwanafunzi ningemuita kituoni na kumkanya na kumuonya ya kuwa kitu alichoandika siyo sawa katika jamii.lakini kama kila mtu akikosea tu mahakamani siyo vizuri.hata wabunge wakikosea huwa wanatengua kauri
sema tu watu wengi hawajihusishi na usomaji wa taarifa hizi haswa wa vijijini serikali ya kijani ingekuwa chali sana haswa wakati huu.kama upinzani umeweza kuibua haya na je wakipewa serikali.hakika sukari itakuwa sh elfu moja kilo.sure! mashine za lugumi zinafungwa hayo ndo majipu ya mana acha...
mi hata naogopa nani ataniwekea dhamana.ctaongea chechote kuhusiana na rais mana unaweza fikiria kuwa unatania kumbe siyo kwa wakuu wa nchi.lakini ushauri wangu wawe wanaitwa na kuwaonya sa kweli kosa moja mahakamani.hata ndoa za watu zingekuwa hivi miji mingi ingevunjika.mi nadhani vitu vingine...
pointi yenu ni lowasa tu mmekosa kingine cha kuongea mimi nilikuwa nadhani unatuarifu kuhusiana na kupatikana kwa sukari.kumbe unamwongelea lowasa ambaye ameokoka na kutoka gizani na kwa taarifa yako utateketea siku za mwisho toroka uje.mwenzio kaokoka bado unaongelea ya nyuma.lowasa wa sasa ni...
eti nendeni majimboni ina mana yeye haoni kuwa huu ni mda wa bungeni na ukiisha c wataenda kwa wananchi.na cc tunasema bunge lionyeshwe mda huu wa vikao vya bunge ambao wabunge wote wapo huko ni vikao vikiisha watarudi ndiyo.na hakuna anayelilia lionyeshwe mwaka mzima. hajitambui analeta mambo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.