Mapya Yaja
JF-Expert Member
- Feb 8, 2013
- 560
- 403
Acheni kutafuta kete ya rais kwa kuandika habari za kikanjanja wakati kuna habari za maana kibao hamziandiki mnaleta uongo wa kipuuzi tu.Wenye wivu wajinyonge, majipu mtalialia sana mwaka huu!
Acheni kutafuta kete ya rais kwa kuandika habari za kikanjanja wakati kuna habari za maana kibao hamziandiki mnaleta uongo wa kipuuzi tu.Wenye wivu wajinyonge, majipu mtalialia sana mwaka huu!
Inaonekana wewe TV unayoijua ni TBC basi! Au labda ung'eng'e kwako ni not reachable hukuangalia UBC, NTV, QTV na KTN; zote zilirusha tukio live. Toka kifungoni kwa kudhani taarifa inapatikana kupitia TBC au startvUliangalia wapi wewe!!?
Wacha unafiki
bwege ndio jina sahihi kwako, kila mmoja na mtazamo wake anapokosea, lazima akosolewe. kwani yeye Mungu mpaka sinye kosa?Mnambeza sana rais Magufuli ndio maana mnaitwa mababy pale bungeni
Ushawahi kwenda hospitali kumuona daktari akakuandikia cheti kwa Kiswahili, Wachina wao huandika kwa Kichina. Ushawahi kuona degree kwetu inasomeshwa kwa Kiswahili? China zinatolewa kwa Kichina. Ushawahi kununuwa kifaa cha umeme kipya kama jokofu au runinga na ukapata maelezo yake ya matumizi kwa Kiswahili? China zinaandikwa kwa Kichina. Ushawahi kumuona Raisi wa China angalau akijaribu kutumia hata neno moja la Kiengerza katika mawasiliano yake? Jawabu hapana. Hata katiba ya JMT imeandikwa kwa Kiengereza! Nafikiri ushafahamu kwa nini Kiengereza ni muhimu kwetu sisi mpaka sasa hivi.
sawa alishangiliwa kipi kimeongezeka kwenye maisha yetu?
Na upuuzi wa MAMA yako aliyemwambia basha wake aliyemuinamisha mpaka ukazaliwa wewe akupeleke shule ukasome Kiengereza!Ni upuuzi wa watu wenye akili kama zako,
Mtaona kila rangi mwaka huubwege ndio jina sahihi kwako, kila mmoja na mtazamo wake anapokosea, lazima akosolewe. kwani yeye Mungu mpaka sinye kosa?
gazeti la chama na serikaliSource?
[/QUOTE]Kujua kiingereza sio ishu sana. Kitu cha msingi ni una nini kichwaninina wasiwasi hapa tatizo litakuwa ni kiingereza
Mkuu wewe una elimu gani ? Samahani kwa swali hilo lakini japokuwa nahitaji jibu.Ushawahi kwenda hospitali kumuona daktari akakuandikia cheti kwa Kiswahili, Wachina wao huandika kwa Kichina. Ushawahi kuona degree kwetu inasomeshwa kwa Kiswahili? China zinatolewa kwa Kichina. Ushawahi kununuwa kifaa cha umeme kipya kama jokofu au runinga na ukapata maelezo yake ya matumizi kwa Kiswahili? China zinaandikwa kwa Kichina. Ushawahi kumuona Raisi wa China angalau akijaribu kutumia hata neno moja la Kiengerza katika mawasiliano yake? Jawabu hapana. Hata katiba ya JMT imeandikwa kwa Kiengereza! Nafikiri ushafahamu kwa nini Kiengereza ni muhimu kwetu sisi mpaka sasa hivi.
Hakuna kitu kama hicho, mimi niliangalia hilo tukio wakati akitambulishwa tena alimtambulisha kwa kilugha na watu hawakujali sana wala sikuona wala kusikia hizo shangwe. Aliyeshangiliwa ni Mugabe tu! Acheni kuandika habari zisizo na maana kama hizo ili mradi eti msikike mmeandika habari kuhusu Magufuli
Ushawahi kwenda hospitali kumuona daktari akakuandikia cheti kwa Kiswahili, Wachina wao huandika kwa Kichina. Ushawahi kuona degree kwetu inasomeshwa kwa Kiswahili? China zinatolewa kwa Kichina. Ushawahi kununuwa kifaa cha umeme kipya kama jokofu au runinga na ukapata maelezo yake ya matumizi kwa Kiswahili? China zinaandikwa kwa Kichina. Ushawahi kumuona Raisi wa China angalau akijaribu kutumia hata neno moja la Kiengerza katika mawasiliano yake? Jawabu hapana. Hata katiba ya JMT imeandikwa kwa Kiengereza! Nafikiri ushafahamu kwa nini Kiengereza ni muhimu kwetu sisi mpaka sasa hivi.
Form 4 ya 1963Mkuu wewe una elimu gani ? Samahani kwa swali hilo lakini japokuwa nahitaji jibu.