Recent content by Kommando muuza madafu

  1. Kommando muuza madafu

    JamiiForums Tanzania Ilikuwaje baada ya kwenda kumuona mtoto wako wa nje?

    Jamaa wamemtoa mchezoni kabisa dogo na haendelei tena na story yake.
  2. Kommando muuza madafu

    JamiiForums Tanzania Ilikuwaje baada ya kwenda kumuona mtoto wako wa nje?

    Dah. 👊👊
  3. Kommando muuza madafu

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Hayo yako ninachojua, nimemla.
  4. Kommando muuza madafu

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Hahahaaa. Kuwa na siku njema mkuu.
  5. Kommando muuza madafu

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Basi umeshinda bosi ila We ni rafiki yangu sana. Nakuheshimu na kukupenda toka uonyeshe ujasiri ile 29/10/2025.
  6. Kommando muuza madafu

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Dogo upo?
  7. Kommando muuza madafu

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Si wasukuma hatuna hayo mambo yenu.
  8. Kommando muuza madafu

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Acha shobo. Umejuaje kama shida ni umaskini? Alafu Kama shida ni umaskini, wangu hawezi kufanya hivyo kwani mi wala yeye sio maskini.
  9. Kommando muuza madafu

    JamiiForums Tanzania Nabii Tito akamatwa na Polisi Dar

    Shida nini jamaa yangu mtu kuhubiri? Dah inasikitisha.
  10. Kommando muuza madafu

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Ni kuwapiga Pumbu tu.
  11. Kommando muuza madafu

    JamiiForums Tanzania Baada ya Irani kuanza vita rasimi Marekani wamekimbia

    USA baada ya kuwachokoza Iran.
  12. Kommando muuza madafu

    JamiiForums Tanzania Mlio oa je hii ni kweli?

    Ni yeye huyo. 😂😂
  13. Kommando muuza madafu

    JamiiForums Tanzania Mlio oa je hii ni kweli?

    Mlio owa Kuna Nini huko tuambieni mapema wakuu mana sio wakwanza huyu niwengi wakisha owa Wana Anza kuzeeka na kukonda tuambieni shida hua Nini huko
  14. Kommando muuza madafu

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Haina kulemba hiyo. Niliipaka mate tu. Imo. Yule Gen Z anapiga kelele kama anauliwa.
  15. Kommando muuza madafu

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Hii imetokea Ijumaa wiki iliyopita. Nilikuwa Mbeya kwenye Mihangaiko yangu. Nikasikia kuna 88 so nikaenda kule uwanjani. Saa 11 jioni nikatoka uwanjani ns kukuta bajaji pale nje. Nikaingia bajaji yenye abiria. Humo nikakutana na hivi vitoto viwili vya kike vya 2000's vinavyobebaga vibegi...
Back
Top Bottom