Recent content by komekaone

  1. K

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    njoo mererani uchimbe tanzanite Mimi nije wilaya yeyote morogoro 0758132144,,idara sekondari
  2. K

    JamiiForums Tanzania Waliosoma Iyunga Technical Mbeya

    nouuuuma umenikumbusha enzi hizooo, nilikuwa hapo enzi za Mwaipopo, Kisusange amenikuta nikiwa 4m3, nafikiri umesoma iyunga ikiwa ya walokole Huyo ndo aliibadilisha iyunga. zile one za point 7 hatuzioni Tena.
  3. K

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    njoo simanjiro, manyara nije Morogoro wilaya yeyote, idara ya sekondari.
  4. K

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    we James Mzuri wa kondoa, kama upo idara ya sekondari njoo tanga muheza.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Post (za ualimu) zimewekwa kama dakika 5 na zikaondolewa!

    hii post inaonyesha ni ya mwaka jana.
  6. K

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    njoo simanjiro manyara, au muheza tanga tuje morogoro au kibaha. idara ya sekondari. 0758132144
  7. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania National Football Team (Taifa Stars) | Special Thread

    wadau hii mechi kati ya stars na waswazi inachezwa saa ngapi na channel gani wataonyesha.
  8. K

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Nipo Simanjiro, Manyara jirani sana na arusha mjini, idara ya sekondari, njoo huku mimi nije morogoro, iringa, njombe au songea. 0758132144
  9. K

    JamiiForums Tanzania Madhara ya kuwachapa viboko vya makalio wanafunzi wa kike

    Wanajamvi naomba mnisaidie hili, Je, kuna athari yoyote ya kibaiolojia inayoweza kutokea endapo mtoto wa kike atachapwa kwenye makalio yake?.
  10. K

    JamiiForums Tanzania FASTJET mmetusaidia sana wafanyabiashara Tanzania

    mkuu hawana route ya moja kwa moja toka KIA hadi mbeya,,kama ipo nauli yao ni kiasi gani
  11. K

    JamiiForums Tanzania Ni jina gani la "classmate" wako ukilikumbuka linakuvunja mbavu

    duh,,kama ni mwalimu wa kike ndo anaita majina kwenye attendance hili jina ni balaa.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Mshahara ni tsh. Ngapi?

    huu uzi ni kweli wa 2011 lakini kwa sasa mshahara ni degree 589000, diploma 432000 ctficate 344000 kabla ya makato
  13. K

    JamiiForums Tanzania Wilaya ya Nyasa

    hyo wilaya ina neema ndugu,,anyway we upo kata ipi.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Nimeumizwa sana na Hili la TAMISEMI:

    pole sana ndg yangu imeniuma sana kufahamu kuwa kumbe kuna mwenzangu aliyekosa ajira toka JUCO, nami nimemaliza hapo mkuu, usikate tamaa, nakushauri endelea kufuatilia hapo wizarani mambo kama hayo yanatokea na yanaweza kurekebishika. nakuombea ufanikiwe mkuu.
  15. K

    JamiiForums Tanzania Jamani hivi mwalimu mweye degree

    mkuu nikikuita nabii cdhani kama nitakuwa nimekosea maana ndicho kilichokuja kumtokea huyu jamaa.
Back
Top Bottom