Recent content by KOMBESANA

  1. KOMBESANA

    JamiiForums Tanzania Kura ya Maoni: Muundo upi wa Muungano unafaa?

    1 Serikali ya Tanganyika 2. Serkali ya Zanzibar na 3 Serikali ya SHIRIKISHO Hata hivyo Wananchi waamue kwa REFERENDUM maana kilichopo kiliamuliwa na watu wawili MMOJA mwenye MA Degree na mwingine Baharia sijui kama alikuwa ameusomea au by experience KUELEKEA serikali moja Zanzibar itasema...
  2. KOMBESANA

    JamiiForums Tanzania Sababu za msingi zinazopelekea 'afande' wa ulawiti asikamatwe ni hizi?

    kuna kitu kinaitwa kuunda genge la kihalifu hicho kingemuunganisha na kosa ni kula njama.Unaonaje?
  3. KOMBESANA

    JamiiForums Tanzania Kuna umuhimu wa kujenga nyumba ukiwa na miaka 60?

    NINAO matajiri wanaojenga baada hata ya 70 maana nyumba ni asset itakayoweza kuhifadhi watu na kuwapatia kipato wote watakaoimiliki kwa miaka kama 40-50 tangia kujengwa.Ni vizuri kufikiri mbali kuliko miaka yetu
  4. KOMBESANA

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Hafla ya kuapishwa Rais mteule Awamu ya Nane, Dkt. Hussein Mwinyi Uwanja wa Amaan

    KWA wenye macho na akili nzima ni vizuri kumsoma GHASSANY....KWA HERI UKOLONI,KWAHERI UHURU.Ni utafiti bora wa siasa na mustakhabhali wa Zanzibar ikitizamwa kihistoria
  5. KOMBESANA

    JamiiForums Tanzania GE2020 Aida Khenani (CHADEMA): Siwezi kuwasaliti wananchi wa Nkasi Kaskazini, mimi ni mbunge halali, ninasubiri kuapishwa tu

    Nina hakika kuwa njia sahihi kwa CUF CHADEMA +ACT ni kutumia mahakama zetu JIMBO KWA JIMBO kwa kesi zenye ushahidi wa election irregularities hata ziwe 250 na nina hakika kwa quality ya WANASHERIA mliopo kwenye vyama na supporters wa haki mtashinda walau kesi 30. Waacheni walioshinda waende...
  6. KOMBESANA

    JamiiForums Tanzania Magari ya mizigo kutoka Kenya yazuiwa kuingia Tanzania kupitia mpaka wa Horohoro (Lungalunga)

    Binadamu wa European Union wanajadiliana namna ya kuunganisha uwezo manunuzi na PPE(personal protection equipment) pamoja kiasi kikubwa kukabiliana na janga(PANDEMIC HII) kuunganisha nguvu za kitaalamu kubaini yasiyojulikana kumhusu mdudu huyu namna ya kuwezeshana KIUCHUMI kupunguza makali ya...
  7. KOMBESANA

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu: Sheria inayozuia watuhumiwa kupewa dhamana ni kinyume cha Katiba. Serikali yaazimia kukata rufaa

    LAWS and consequently courts of law are like cobwebs.TOO STRONG if you are WEAK and too WEAK FOR THE STRONG!
  8. KOMBESANA

    JamiiForums Tanzania Jenerali Ulimwengu: Kusema kuwa Mungu amesaidia kupungua kwa Wagonjwa wa Corona ni Dhihaka kwa Mungu na ni Porojo

    HONGERA WHOEVER YOU ARE.WEWE NI MJANJA
  9. KOMBESANA

    JamiiForums Tanzania Jenerali Ulimwengu: Kusema kuwa Mungu amesaidia kupungua kwa Wagonjwa wa Corona ni Dhihaka kwa Mungu na ni Porojo

    Naomba kujua iwapo viongozi wanaenda ibadani kuabudu jamani ama kufanya nini?
  10. KOMBESANA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Madereva 12 wa Tanzania wazuiwa kuingia Kenya baada ya kugunduliwa kuwa na COVID-19

    kuna kitu naogopa kuuliza.Iwapo sample ikichukuliwa MWANZA inapelekwa DAR na iwapo sample ikichukuliwa LUNGALUNGA ama TAWEETA(mgeni soma TAVETA) majibu yapo hapo hapo nani hasa yuko MAKINI na mwenye tahadhari?
  11. KOMBESANA

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kuchangisha Milioni 350 ni maigizo na fedheha

    LUQMANN ni roho mbaya kuuliza kwa nini mtu mmoja anajitoa kumchangia mwenzie ambaye ni wazi wewe humpendi mchangiwaji!NENO NI HILI wachangaji siyo wajinga na wachangiwaji siyo maskini wala WEWE huna akili sana ujue ni kwamba umefuta ujinga tu,na unahitaji kusoma zaidi na zaidi.
  12. KOMBESANA

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni nchi huru, a Sovereign State, Mahakama zetu ni huru? Hizi ndizo hukumu zetu za haki, who the hell is Marekani kutuingilia? Je, tukubali?

    KWA sovereignty hiyo SIR PASKALI MAYALA inamaanisha tunaweza kuteketeza kikundi cha kijamii , kidini, kisiasa au utamaduni fulani wafe waishie mbali na tusihojiwe?Test nzuri ya hili ni case ya Tanzania kumtoa Idd AMIN nje ya mipaka na kuendelea kupigana hadi Kampala.Je hii ni uingiliaji wa...
  13. KOMBESANA

    JamiiForums Tanzania Hukumu ya Viongozi wa CHADEMA: Seneti ya Marekani yadai Tanzania ni vigumu kuwa na Uchaguzi Huru 2020

    Natafuta historia iwapo kuna Rais Marekani amewahi kuruhusu ama REPUBLICAN AU DEMOCRAT kinunue na/ama kihujumu wapinzani wahamie chama tawala.Nakusanya pia matamshi ya wanasiasa waandamizi wa chama chetu pendwa yaliyo ya kihamasishaji kuelekea jinai za kila aina ikiwemo mauaji na kuomba msaada...
  14. KOMBESANA

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Kisutu imewatia hatiani Viongozi wa CHADEMA na kuwahukumu kulipa faini ya Tsh. Milioni 350 au kwenda jela, Wapelekwa Segerea

    ni wazi kuwa tunaangalia jambo hili kimzahamzaha kama darby ya SIMBA/YANGA MAN U/MAN CITY au GOR MAHIA/AFC LEOPARDS lakini kiuhalisia Tanzania siyo kisiwa chaamani ustaarabu wala kupigania uhuru na usawa kama ilvyokuwa miaka ya 60 70 na 80
Back
Top Bottom