Recent content by kombe22

  1. K

    Hakuna mwanaume mwenye mwanamke mmoja, mama usijidanganye

    Umeongea kweli mkuu maisha ni kuamua ni swala linalo wezekana hata mwanamke hawezi kuridhika na mwanaume mmoja ila anaamua kujitunza na kukulindia heshima
  2. K

    Mtazamo binafsi: Wasichana wengi waliomaliza vyuo vikuu ni mizigo na hawafai kuolewa!

    Kwani hizi ndoa zinazo vunjika kila siku ni za wanawake walio soma au wake za watu wanao chepuka ni ambao wamesoma tusikariri tena bora hata alie soma anakua anajielewa
  3. K

    Kishachumbiwa na kaenda kukaa kwao na mzazi wenziye zaidi ya wiki

    Niwasalim wanajamvi Mkasa uliotokea: Mdogo wangu kuna dada ambaye ameshamtolea barua na mahari ilikua imeshapangwa tarehe 20 ya mwezi wa kwanza ilikua tupeleke mahari ili tarehe ya ndoa ipangwe. Huyu shemeji yetu tayari alikua ameshazaa na kijana mwingine. Kipindi cha sikukuu ya Christmas...
  4. K

    Kuna uhalali wa kutokuoana kisa mmetofautiana mila na desturi za makabila yenu?

    Habari za mihangaiko wana jamvi niende kwenye mada. Nilipata mchumba ambae kabila lake ni mndengereko mwenyeji wa mkoa wa pwani nilikua nimesha mtorea barua na umesha jibiwa. Kulingana na mila na desturi za watu wa pwani kipindi barua imejibiwa ilibidi niongee na mchumba wangu kuhusiana na mila...
  5. K

    Maamuzi Magumu: Nimeamua kuwa baba wa mtoto wa rafiki yangu

    Mihemko ya kimapenzi ndio inayo kusumbua kwani huna ndugu wenye shida
  6. K

    Jinsi Kundi la G7 lilivotafuna Mademu wa Dar (mpaka sasa hivi wanatafuna) zijue Mbinu zao

    Umeachika ndo ukarudi Sent using Jamii Forums mobile app
  7. K

    Hii ndio sababu inayotufanya tukimbie kuwaoa Masingle Mother

    Hata wao wanahaki ya kupendwa Sent using Jamii Forums mobile app
  8. K

    Ndoa inayumbisha uchumi wa vijana

    Asa Kwa ndoa za watu wa pwani kila wiki umnunulie dela na pesa za kutunza vuta picha gharama za kumtunza inakuaje ndo napata picha ndomana wanaongoza kuachana wengi wanashindwa kuwamudu Sent using Jamii Forums mobile app
  9. K

    Pepo la kuoa kwa mkumbo linaelekea kunishinda nguvu, maombi yenu wapendwa na wenye kujali

    Mkuu we ingia tu kwenye maisha ya ndoa mbona wengine tupo ndoani na tunapambana na changamoto sote kabla tuliogopa tukaamua kuyavulia maji na tukayaoga na maisha yanaendelea Sent using Jamii Forums mobile app
  10. K

    Kutembea ukiwa usingizini

    Mimi huwa naamka naanza kupiga kelele na hiyo hali inajirudia Sana miaka zaidi ya 10 na huwa sikumbuki bali naambiwa na watu nao lala nao tatizo inaweza kua nini Sent using Jamii Forums mobile app
  11. K

    Wasichana wazuri wote wana watoto. Kazi kwenu waoaji

    Nikiangaria mtaani kwetu asilimia kubwa ya mabinti wazuri wanawatoto na walio wengi waliolewa wakaachika Sent using Jamii Forums mobile app
  12. K

    Tabia za baadhi ya wanawake zinachangia wanaume kuwa na nyumba ndogo

    Kwa tarifa yako fuatiria makabila yote yenye mila za kufunda ndo wanaongoza kwa Kuachana fuatiria ndoa za ukanda wa pwani ambako Mila za kufunda zimekita mizizi ndo wanaongoza kuachana Sent using Jamii Forums mobile app
  13. K

    Mama wa rafiki yangu ananitaka kimapenzi

    We kula mzigo rafiki yako Utajua namna ya kumpanga Sent using Jamii Forums mobile app
  14. K

    Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

    Basi tukatafute wanafunzi wa chekechea mana hata wa shule ya msingi wamesha tolewa bikra Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom