Hawa jamaa mfumo walioundaa utatutesa kwa mda,ujinga umetamalaki,wamelifukarisha taifa na wananchi wake,wakatugawa kwa ukanda na sasa wanamalizia na udini,tusidai,tusile,tusinywe,tusielewane na kufurahi pamoja kisa huyu si wa imani yangu! Laana hii na iwatafune hawa watu ingali mapema na cha...