Tusikubali Bunge kuwa sehemu ya kuficha wezi...

PRINCE CROWN

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
5,210
Reaction score
4,182
Salam wana JF wenzangu,

Nimejitokeza kuweka post ihi kimsingi tujadili mambo ya nayoendelea mjengoni, sasa tujadili jambo lililo ibuliwa jana na ndg kafulila,juu ya utafunwaji wa zaidi ya bilioni 200 benki kuu, ni ukweli usiofichika kwa sasa ugonjwa unaolitafuna taifa ili ni ufisadi, unaoratibiwa na baadhi ya viongozi wa chama cha mapinduzi, na sema haya kwa sababu zifuatazo,wote tulishuhudia, bwana luhanga mpina, akijaribu kuzima hoja ya bw Kafulila, akisaidiwa na spika Anne Makinda.

Sote ni mashaidi kwamba mambo haya ya zima zima hayakuanza leo, nakumbuka dk wilbod slaa alipoibua tuuma za EPA bungeni, spika wa kipindi kile bw samweli 6 alitishia kumchukulia hatua za nizamu Dk Slaa, kwa kuongea uongo bungeni, mwishowe ikaja kuthibitika ni ukweli fedha zilichotwa kwenye akaunti ya EPA, likaja la richmond demo ikawa ihi ihi mwishowe ukweli ukathibitika, sasa kunataarifa za CAG na takukuru kupewa kazi ya kuchunguza jambo hili.

Ukweli ni kwamba CAG na takukuru katika tuhuma zilizopiti wali wasafisha EPA na Richmond kabla ya kuja kamati teule ya bunge na ripoti ya wizi hambao CAG na TAKUKURU uliubariki.

Kimsingi hapa zitakuja ripoti za safisha safisha kubariki wizi uhu wa fedha ambazo zingetumika kununulia madawati na madawa hospitalini.

Wito wangu kwa viongozi wa chama cha mapinduzi siku zao za kubakia madarakani zinaesabika, na yote walio yafanya wakiwa madarakani na kulindana watawajibika, waliotenda mema watapata thawabu yao
 
Tatizo la bunge letu ni kujigeuza msemaji wa serikali, toka spika na wabunge hasa wa ccm! Wabunge wa ccm hawawatetei watanzania bungeni, bali hukitetea chama chao na mafisadi! Zimetengwa mabilion kwa ajili ya posho na safari kuliko maendeleo, wabunge wa ccm wanagonga meza tu"
 
Tumwombe Mungu TAKUKURU na CAG lao si moja na CCM. Sijui labda kama wakulu wa nchi hawakubariki hii deal
 
kwa kutegemea wabunge wa ccm na serikali yake hakuna wizi wowote mkubwa utakaochukuliwa hatua kwenye nchi hii ya Tanzania,maadamu wabunge wa ccm ndio wengi ndani ya bunge na spika wa bunge anatoka miongobi mwa wabunge wa ccm hilo ni ndoto.kama kweli wananchi tuna uchungu na mali zetu zinazoipiwa na kundi la wachache na tunataka hatua zichukuliwe dhidi ya hilo kundi ni lazima tukubali kuitoa ccm madarakani
 
Wabunge asilimia 70 ambao ni CCM ni wezi na mafisadi, kwa hali hiyo sio sehemu ya kuficha wezi ni genge la wezi
 
changamoto iko kwetu raia pindi inapofika muda wa kampeni za uchaguzi tunakubali kuvikwa miwani za mbao kwa kufanyiwa milipuko ya miradi ya kimaendeleo na pindi kampeni xinapo isha na sisi kuwapa dhamana ya kutuongoza kwa kutumia vigezo vya miradi hewa apo ndipo tunapo haribu. Hivyo wakati umefika wa sisi kufanya maamuzi magumu ya kuongeza wabunge wengi wa upinzani ili kuleta ufanisi katika utendaji wa serikali
 
Natamani viongozi na wanachama wa hicho chama wangekuwa kwenye ile ndege ya Malaysia!
 
Iko dawa ambayo sisi wananchi tunayo na nimeisema mara nyingi lakini sioni nikiungwa mkono. WABUNGE WA CCM NDIO LAANA YA NCHI HII. Sasa hawa tunaona kila likiibuliwa jambo bungeni wao ndio wanawapa kichwa serikali na li spika lao kwa kuwazomea Wabunge wa upinzani wanaotoa hoja mpaka inakuwa hoja haina nguvu. Nasema sasa ni zamu yetu, hebu na wananchi wawazomee,wawaaibishe,wawatenge na kuwakejeli huku nje ya Bunge hao wabunge wa CCM popote watakapowaona kama wanavyofanya Zanzibar sasa hivi na baada ya muda mfupi mtaona nini kitatokea.
Hii ndio dawa kwa watawala wajinga, sisemi muwapige mawe la hasha labda nyanya mbovu na mayai visa wakanuke huko waendako bladifulu kabisa. Inauzi sana.
TUANZISHE KAMPENI YA ZOMEA WABUNGE WA CCM POPOTE.

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Nchi tumekabidhi wahuni,wapiga dili na waroho,maisha bora chini ya utawala wa ccm na chama chochote chenye hulka kama hiyo hata kama wakipewa kutawala miaka 10000 hayapatikani kamwe!
 
Iko dawa ambayo sisi wananchi tunayo na nimeisema mara nyingi lakini sioni nikiungwa mkono. WABUNGE WA CCM NDIO LAANA YA NCHI HII. Sasa hawa tunaona kila likiibuliwa jambo bungeni wao ndio wanawapa kichwa serikali na li spika lao kwa kuwazomea Wabunge wa upinzani wanaotoa hoja mpaka inakuwa hoja haina nguvu. Nasema sasa ni zamu yetu, hebu na wananchi wawazomee,wawaaibishe,wawatenge na kuwakejeli huku nje ya Bunge hao wabunge wa CCM popote watakapowaona kama wanavyofanya Zanzibar sasa hivi na baada ya muda mfupi mtaona nini kitatokea.
Hii ndio dawa kwa watawala wajinga, sisemi muwapige mawe la hasha labda nyanya mbovu na mayai visa wakanuke huko waendako bladifulu kabisa. Inauzi sana.
TUANZISHE KAMPENI YA ZOMEA WABUNGE WA CCM POPOTE.

Sent from my iPad using JamiiForums

Hawa jamaa mfumo walioundaa utatutesa kwa mda,ujinga umetamalaki,wamelifukarisha taifa na wananchi wake,wakatugawa kwa ukanda na sasa wanamalizia na udini,tusidai,tusile,tusinywe,tusielewane na kufurahi pamoja kisa huyu si wa imani yangu! Laana hii na iwatafune hawa watu ingali mapema na cha mhimu jamii haijapata elimu ya kutosha ya uraia kuweza kujua athari za utawala wa aina yoyote ile ktk maisha yao ya kila siku.
 
Bibi kirobo akikusikia utaipata.

Back
Top Bottom